hello new member here

ngony

Senior Member
Feb 7, 2012
153
17
hello members am new here! katika jamii forums kabla sijajiunga nimeweza kuangalia sehem nne, nazo ni jamii intellgnce,jukwaa la siasa,MMU na matangazo na hoja mchanganziko. ila katika sehem zote jamii intellgnce ndio iliyonivutia, imepatia elimu juu ya mambo mbalimbali na imechochea akili ya utafiti na udadisi,hii ni kwa kua hata mie ni mtu mdadis sana. katika majukwaa yaliyobakia nimekutana na baadhi yaliyonitia hasira sana hasa mambo ya udini ambayo yanaonekana waziwazi bila uficho! hope i will get used to it but to be honest am so emotional,any way pals let get it started! helloo once again
 
Back
Top Bottom