mambo vp wana my name is joddy jordan Bezalell aka(taribo) NI mgeni wenu humu so tutakuwa pamoko...ok wananiita taribo tangu nipo shule coz nlikuwa beki mzuri wakati tunasoma na nlikuwa napa chaki...
Hellow ladies and gentlemen,it is my pleasure to join Jf where we not only share ideas but also perspectives.
I am delight to be here and hope to meet the support that i expect.
Habarini waungwana natumai ni wazima kwa wale wagonjwa Mungu awape nguvu na afya nzuri mapema ili tuendelee kusongesha hili gurudumu la maisha, naomba niwe mmoja wa familia yenu wapendwa, kama...
Hello hello JF members,
it is with great pleasure today I decided to join this forum. I have been following the forum from outside and I finally decided that i should join so that I can also...
nimevutiwa sana na thread mbalili mbali mnazozimwaga humu janvini, nimeamua kujiunga nanyi ili niweze kujifunza mengi zaidi na kuchangia mada mbalimbali kwa yale ninayoyafahamu. heri ya mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.