Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari zenu bhanaa
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hi! Natumaini wote muwazima wa afya tele. Nifungulieni mlango nami nipate kuwa mwana jamii katika jukwaa hili.:lol:
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni miaka miwili sasa nimekua nikitembelea jamvi hili nikiwa kama msomaji tu.sasa nimeona ni wakati mwafaka na mi kuchangia,naomba mnipoke
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Just say hi to all jamii forum. i like it....
0 Reactions
7 Replies
839 Views
Nipokeeni katika jukwaa lenu
0 Reactions
10 Replies
921 Views
Nimeona kazi yenu wanajamii na nimeikubali, bg up sana,
0 Reactions
2 Replies
841 Views
Jamani mie ndo nazaliwa JF, naomba ulezi wenu na mwongozo mwema. Karibuni kwangu 'rock city', naimani mnaelewa nimaanishacho....Mwanza. Mnipokee kwa kheri.
1 Reactions
7 Replies
824 Views
Nimekuwa member kwa muda wa takribani miaka miwili sasa. nilikuwa nasoma thread mbali mbali na coment za member malimbali. hata hivyo kwa kipindi chote hicho nilkuwa mgeni coz nilikuwa kimya...
0 Reactions
5 Replies
903 Views
hey
mambo vipi.?
0 Reactions
3 Replies
977 Views
please nikaribishen mgen wenu
0 Reactions
4 Replies
921 Views
Nashuru wana jf wote kwa ukaribisho. Nimeupenda sana huu mtandao ila kutokana na ugeni wangu wa kutumia mtandao pamoja na uzoefu nimekuwa nikikosea sana kutuma post zangu, badala ya kukaa jamvini...
0 Reactions
3 Replies
907 Views
Wadau tupo pamoja,
0 Reactions
2 Replies
622 Views
faraja ilioje kuingia ktk huu uwanja''''great thinkers faraja sana..
0 Reactions
6 Replies
755 Views
Wadau mie ndoo kwaanza naketi kwenye jamvi nipate japo gahawa kisha tuanze kupiga mastoriezzz
0 Reactions
8 Replies
824 Views
Hodi wakuu wana JF
0 Reactions
6 Replies
818 Views
Nafurahi kuwa mmoja wa wanafamilia hii. Ni familia ya wasomi, familia ya wastaarabu, familia ya wazalendo na ya watu wenye mshikamano. Nipokeeni wapendwa
0 Reactions
4 Replies
887 Views
habari za kwenu? mimi mgeni naomba kukaribishwa tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
928 Views
Ninawasalimia. Nataka kufuatilia habari na mambo mengi ya tanzania
0 Reactions
4 Replies
880 Views
Naomba mnipokee waungwana. Shukrani zangu za pekee kwenu. Tupo pamoja!
0 Reactions
5 Replies
950 Views
Hod wangwana kwa zaidi ya miaka 2 sasa nimeka mgeni humu jamvini nikiwa kama msomaji.sasa nimeona ni wakati mwafaka kujisajili naomba mnipoke. SHUKRANI ZA PEKEE KWA MODS,MUNGU AWABARIKI
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom