Karibu Sana Mh. Halima Mdee Ndani ya JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibu Sana Mh. Halima Mdee Ndani ya JF

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by JF Marketer, Feb 5, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. JF Marketer

  JF Marketer Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 3, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF,

  Rejea hii taarifa yangu hapa chini:

  Leo nachukua nafasi hii tena rasmi kuwajulisha kuwa, muda mchache uliopita, Mh. halima Mdee amekamilisha taratibu za kujiunga rasmi hapa JF kwa majina yake halisi.

  Napenda kumshukuru Mh. Mdee kwa kuwa muungwana na mkweli kwa ahadi yake. Kwa niaba ya Jamii Media, ninamuahidi ushirikiano kama tufanyavyo kwa Wanachama wetu wote.

  Karibu Mh. Mdee uweze kuendeleza ushiriki wako katika mijadala kwa maslahi ya taifa letu pendwa-Tanzania

  [​IMG]

  JF Marketer
   
 2. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Karibu Halima, feel at home! We have been anxiously waiting for you.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  mbona hatumwoni?
   
 4. T

  Twaa Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  karibu sana jembe letu la kawe na tanzania kwa ujumla. Mungu akupe hekima, busara na uvumilivu kwenye jamii forum kwani kuna wakati mtu inatokea ukawekwa kikaangoni! Usijali jembe hayo yatakua maisha yetu huku jf. Kumbukumbu kubwa iwe kama R Mtema!
  Welcome jembe letu, feel at home!
   
 5. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  asilete ubabe hapa. yeye bando njuka jf so anapaswa akajitambulishe jukwaa la utambulisho. hamna kumsemea mwingine. akileta mchezo anapigwa ban vilevile. ahakikishe anafuata sheria na kanuni za jf. ntamkaribisha akipiga hodi kama nnavyo wakaribisha wengine lakini ntafurahi sana kama kweli kajiunga. ova
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  lakini mh mdee ni mtu anapenda privacy'sijui kama hii taarifa ina ukweli!
   
 7. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yaani povu lote sijui kwa sababu ipi? Mbona kila kitu kipo wazi sana, hakuna sehemu wasiyoenda bila sheria, kanuni na taratibu.
   
 8. Tosha

  Tosha Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  jamani bdo hatujamuona au mimi tu sijamuona?nakumbuka mhe Mdee akihojiwa na kipindi cha leo tena cha CLOUDS FM alisema asingekuwa mwanasheria labda angekuwa mwana IT!hivy natumaini upenzi wake kwa IT unogeshe uwepo wake hpa JF!
   
 9. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  True that, Mkuu na mi nitashangaa sana kama hii ni kweli, manake yule dizaini zake sio type za kuja kujichora hapa while all others enjoy their sweet privacy. How can u be invited to unravel your identity by someone calling themselves "JF market"! Incredible double standard.
   
 10. t

  thatha JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Swali kwa dada halima.
  hivi karibuni wanafunzi waliofukuzwa na Mwalimu mkuu wa Ndanda kwa shindikizo la kanisa amaeamriwa awarudishe shuleni. lkn hadi sasa mwalimu mkuu huyo wa shule ya serekali amekaidi amri . waislam sasa wanapanga kuvuruga mtihani. njia hii hakuna tafauti na hatua wanazochukua Chadema ktk kudai haki zao, mfano Arusha na mauji ya wanachama wenu.
  swali. unaonaje Mwalimu mkuu kwa kuwa anapewa nguvu na kanisa anakuwa na ujeuri wa kukataa Amri ya serekali?
  Hivi kwanini Chadema hawataki na kuona waislam wanadai haki zao kama wanavyofanya Chadema kwa kusaidiwa na kanisa katoliki?
   
 11. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Unamuuliza swali mtu hujamuona. Kweli ukichaa sio lazima uvue nguo. Au unataka lisijibiwe uanze kusema kaogopa watanzania kwakutafutiana ubaya hamjambo
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Yupo wapi?
   
 13. sisi kwa sisi

  sisi kwa sisi Senior Member

  #13
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dada halima sijui kama ataweza changamoto. changamoto kubwa kuhusu Chadema na udini ambao wanajf hasa wa cdm hapa wanafeli. wanaonyseha hasira za waziwazi juu ya dini ya kiislam nchini
   
 14. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  amenipm kumbe yuko humu muda mlefu tu..kule chitchat..
   
 15. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Nampenda.
   
 16. k

  kajunju JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Nampongeza kujoin jf. Marehemu mtema alikuwa sharp kuwajulisha kinachoendelea wananchi hasa wakt wa maandamano ya cdm.endeleza gurudumu ili mh mdee
   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kweli kabisa mkuu katavi..
   
 18. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Halima Mdee kwani ni nani hasa? Naomba mwongozo tafadhali.
   
 19. G

  GAM Member

  #19
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha masihara we kadakabilike kama humjui halima mdee nend jimbo la kawe kaulize mbuge wenu ni nani?
   
 20. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #20
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo kakutuma wewe mkuu?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...