Nikaribisheni great thinkerz

Concious

Senior Member
Feb 1, 2012
105
13
Heshima yenu wakuu...ni matumaini yangu tunaendelea kujenga taifa letu kwa pamoja huku kwa kiasi kikubwa tukisaidiana maumivu haya ya makali ya maisha yanayosababishwa na wachache waliovimbiwa keki ya taifa wakati wengine bado hatakuonja....
 
Karibu sana ingawaje umekosea mlango angalia ipo milango mingi humu mkuu !
 
Heshima yenu wakuu...ni matumaini yangu tunaendelea kujenga taifa letu kwa pamoja huku kwa kiasi kikubwa tukisaidiana maumivu haya ya makali ya maisha yanayosababishwa na wachache waliovimbiwa keki ya taifa wakati wengine bado hatakuonja....

Karibu, mbona unaingia na mkwara wa malalamiko!!! Ngoja kwanza ukae sebuleni ndio umwage radhi. All in all, karibu sana tujadiliane mpendwa. (just a joke)
 
Mlango siyo, tunaelewa kwa kuwa u mpya!!

Subiri maelekezo, PJ mwaga vitu kwake!! Karibu.
 
Jisikie upo nyumbani.karibu sana.ila chukua tahadhari.usije jichanganya. Maana machozi hapa njenje.
 
Nawashukuruni sana wakuu...tutakuwa pamoja sana katika kujenga nchi yetu
sijaingia kwa mbwembwe ila hayo niliyosema ni kama wimbo wa taifa kwa sasa
ambao hata watoto wa vidudu wanauimba.......
Nashukuru sana kwa kunikaribisaha
naamini nimepokewa kwa mikono miwili
 
Back
Top Bottom