Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Zile enzi za pichu za zaiboni sijui ni wangapi mnazikumbuka. Unavaa pichu mpaka elastic ya kiunoni unalegea unazitupa. Sasa hizi pichu za St Michael unavaa mpaka inachakaa pale makao makuu...
11 Reactions
162 Replies
26K Views
Most Beautiful Black Women Around The World.. 2017/2018
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Wanawake wengi nyonyo zao zimelala wengine inatokana na sababu ya kunyonyesha na wengine ni maumbile yao tu ndivyo yalivo. Kwa wewe dada ambaye nyonyo tits zimelala na unataka zisimame fanya haya...
6 Reactions
159 Replies
93K Views
Kuna huyu jamaa nimekuta posts zake huko mtandaoni, hapa kwakweli wanaume wa Dar watasubiri :):D
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwa anayejua facial wash nzuri ni ipi? Tuambie ww unatumia ipi kukufanya uonekana smart usoni
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Naomba msaada tafadhali Mwenye kujua mafuta mazuri kwa ajili ya kupaka hizi ngozi za mafuta hasa usoni anijulishe tafadhali
0 Reactions
49 Replies
29K Views
Lazima tuwajulishe watoto wetu wasichana kuwa, katika maisha yao kuna nguo kuu nne za kuvaa. Nazo ni: 1) Sare ya shule 2) Joho la Graduation 3) Gauni la Harusi 4) Maternity dress (Nguo ya...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Umofia kwenu! Kuna mavazi ambayo yamezoeleka kuvaliwa misibani au kwenye mikusanyiko yeyote ile iwe harusi au sherehe zingine! Binafsi nahitaji kuelezwa au kujuzwa kama huwa ni fashion au ni...
6 Reactions
66 Replies
11K Views
Aina hii ya mavazi huvaliwa Ulaya na Amerika ya kaskazini kipindi hichi cha mwaka kwa sababu ya baridi kali na barafu inayodondoka huko. Kichekesho ni pale unapomwona mtu mzima na akili zake...
11 Reactions
176 Replies
24K Views
Wakuu hamjambo. Nimeona niweke wazi. Ladies wengi waliovaa majuba wananisisimua. Pia wanawake wanaonyoa huwa nawapenda mionekano yao.
7 Reactions
125 Replies
17K Views
Mko poa au VP? Napenda kuelimisha jamii yakitanzania kuhusu ili jambo vijana wengi wamepotea in the name of fashion without knowing it's origin. Nguo za kubana hasa kwa wanaume niutanblisho wa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Habarini wadau, Kama inavyojieleza hapo juu, natafuta hiyo kitu (virgin hair fertilizer) mwenye kujua zinapatikana wapi tafadhali anijuze. Natanguliza shukrani
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu Habari zenu... Niko zanzibar.. Naomba Kujuzwa wap Wanafanya Masaji.. Au mweny Namba ya mtu a naye Fanya private Masaji anitumie inbox... Na bei zao zikoje? Niko serious wakuu kazi nazofanya...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Naomba msaada, Mimi sio mtumiaji wa vipodozi vikali lakini yamenikuta haya baada ya kushare lotion ya ndugu yangu tukiwa safarini. Bahati mbaya nilisahau kupack mafuta wakati nasafiri sasa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wana Bodi Amani ya Bwana iwe Nanyi. Nataka ni badilike kimuonekano wa kimavazi, niko Arusha ni wapi naweza kupata makoti mazuri ya Suti ya bei nzuri kuvalia na kofia aina ya Spire mara...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
hakika tatizo hili,limekuwa km ni kawaida kwa vijana wadogo,kutokwa na viparavmiaka ya karibu,tofauti na zamani ambapo MTU akiwa na kipara h uwa na umri Wa 50s,anayefahamu Dawa jamani,hebu njooni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
WW I ilipoanza mfalme Leopard alichukua vijana wa ki-Congo wenye nguvu na kuwapeleka Ubelgiji kuipigania nchi mama. Vita ilipokwisha walilipwa Franc 300 kila mmoja na kuambiwa wako huru kufanya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna uhuru wa kuvaa unachotaka lakini hiki la kuvaa sandals wakati muguu imepasuka tena mipasuko ya kuchana shuka nalo ni neno. Kupasuka kwa miguu si uginjwa bali ni kutokuijali ngozi ya miguu...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini wana JF Naombeni mnijuze ni mafuta yapi mazuri kwa mwanaume mwenye nywele fupi tu za wastani. Yapi yanapendezesha nywele na kuzifanya ziwe nadhifu na za kuvutia?
0 Reactions
63 Replies
47K Views
Nawasalimu kwa mara nyingine tena wana JamiiForums, Mimi ni kijana wa miaka 20 lakini mpaka sasa nimepata ndevu za kawaida (kidevuni) lakini mimi napenda sana Mustachi (za mashavuni) maarufu kama...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom