Historia ya wa Congo na designer gear

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
WW I ilipoanza mfalme Leopard alichukua vijana wa ki-Congo wenye nguvu na kuwapeleka Ubelgiji kuipigania nchi mama.

Vita ilipokwisha walilipwa Franc 300 kila mmoja na kuambiwa wako huru kufanya wanachotaka. Wengine waliamua kubaki Ubelgiji lakini kuna walioamua kurudi nyumbani. Kabla ya kurudi walifanya shopping ya designer kuanzia mashati, makoti, suruali na viatu wakiiga uvaaji wa majenerali nje ya combati.

Enzi hizo usafiri wa kwenda na kutoka Ulaya ulikuwa ni meli. Walipofika nyumbani walipokelewa kishujaa. Walikuwa kama macelibrity. Jioni walioga na kuvaa nguo zao wakienda club.

Wengi waliiga style hii ya maisha.
https://i.pinimg.com/736x/ec/f8/2f/ecf82ff439c13f4cad370a34d919154e--vintage-man-classic-man.jpg
 
Huyo mwenye suti ya mistari siyoMnyanyembe huyo?
Au huu uzee unaniingia vibaya.
Na mwingine kama Paulo!
 
Back
Top Bottom