Kwa wanawake tu; uvaaji huu huwa ni fasheni au?

MBITIYAZA

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
14,950
26,050
Umofia kwenu!

Kuna mavazi ambayo yamezoeleka kuvaliwa misibani au kwenye mikusanyiko yeyote ile iwe harusi au sherehe zingine!
Binafsi nahitaji kuelezwa au kujuzwa kama huwa ni fashion au ni nini!

Kuna wanawake wanavaa madera then nguo ya ndani inakuwa ndefu (namaanisha underskirt, tonja, gagulo) yaani unakuta dera limefika kwenye ankle lakini ile nguo ya ndani inaizidi dera yaani unalikuta inaliburuza! Au wengine hufika mbali kiasi hunyanyua dera anatembea ameshikilia dera!

Hivi ile huwa ni fasheni au ni nini jamani! Binafsi mie sielewi kabisa concept ya uvaaji ule ni kuonyesha zile underskirt za ndani au ni nini!

Ngoja 'matomaso' tuwataftie picha tuiweke.

Karibuni wapenda 'fashoon'!

cc Nalendwa ,Heaven Sent
 
Hahahahah usitufanyie hivyo bana we !mie ninataka kujua tu kwann iwe hvyo
Samahani mkuu kumbe ID ya ke. ila kusema kweli sijawahi kuwaelewa nyie watu.

Nadhani kwenu kuonyesha nguo za ndani ni kawaida tu ila huwa mnatuweka kwenye nyakati ngumu sana(kuwatamani)
 
Samahani mkuu kumbe ID ya ke. ila kusema kweli sijawahi kuwaelewa nyie watu.

Nadhani kwenu kuonyesha nguo za ndani ni kawaida tu ila huwa mnatuweka kwenye nyakati ngumu sana(kuwatamani)

ahahha na nyie mna tamaa mno kha !
 
Back
Top Bottom