Ni wanaume wangapi tunajali usafi?

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Kama unamiliki suruali zaidi ya kumi na tano na una boksa mbili tu wewe ni mchafu!
Kama una pea moja tu ya viatu wewe ni mchafu,mwanaume viatu
Kama unapiga mswaki Mara moja tu kwa siku wewe ni mwanaume mchafu!
Kama huwezi hata kuwa na perfume zaidi ya tatu ghetto wewe ni mchafu!
Kama una pea moja tu ya shuka na hata taulo huna wewe ni mchafu!
Kama unatumia mikono kufuta kamasi wewe ni mchafu!
Kama nywele zako huwezi kugharamia hata tsh 30000 kwa mwezi wewe ni mchafu!
Team wachafu njoeni mtoe mapovu
 
. Sawa shorobaro wa dar.
 
Mi binafsi naona mwanaume ni bora awe na boxer nyingi,soksi nyingi na vest nyingi plus viatuka sivyo majangaaaa coz wanaume ni wachafu saana kwenye nguo za ndani 80% wanarudiaga nguo za ndani so its better awe na nguo za ndani nyingi
 
Mwanaume awe na boxer nyingi za nini? Kwani ana bleed. Mwanaume boxer mbili tu. Moja ikiwa kambani inakauka nyingine iko mwilini.
 
Back
Top Bottom