Habari wanajamii forums hopefully mko fine.
Leo nilitaka kuwaambia wanaume wenzangu ambao walikuwa na maswali kama
1. KWANINI WANAWAKE NI WABAHILI SANA?
2. HIVI WANAWAKE HELA ZAO WANAPELEKA...
Habari zenu Waungwana,
Kuna jambo nimeliona jana saloon hata sijapenda, nimekwenda kufanya body wax na kutoa nyusi
kufika namkuta mkaka ameshikilia nyusi lina guna tuu mmh,mmh, hakuishia hapo...
Wakuu habari za jumapili, kumekuwa na wimbi kubwa la wadada na wamama kusafishwa na kusuguliwa miguu kwenye baadhi ya vituo na maduka ya urembo.
Je utamaduni huu mpya unaongia kwa kasi katika...
Nilikuwa naapita mitaaa ya uzwazi ya hapa Jijini.. Manzese na Magomeni. Ukikutana na wanawake 10.. lazima tisa wamevaa vazi la dera.. Ukikutana na vijana 10 lazima 9 wamezaa tshirt za...
Wasalamu wakuu,
Ndugu zangu, Siku hizi naona kitambi kimeanza kujitokeza[emoji134] asikwambie mtu kitambi kina shida.
Naangaika jinsi ya kukaa, nalazimika kulegeza mkanda wakati nakaa...
Haya wale team ma feki ma wigs mjue watu weusi hatuhitajiki duniani,walishwapata kwenye kujichubua hadi mwenzenu akiwa mweusi mnamcheka utasikia eti mweuuuusiiiiiiiiii huku mmekunja na sura sasa...
Mijanaume ya mkoa ikija Dar inaiga mambo za kike hadi saluni inaenda Mxieeww
Mbakigi makwenu Nyau nyie mnafanya hadi wanaume sisi wa Dar tuonekane majinga
Dar hatutak shoboooo sisi ni...
Imebidi niulize sababu nimejikuta nywele zimenyonyoka Kama nimenyolewa, banda ya kuweka curl baada ya miezi mitatu nikaweka DAWA ya movate ili nilainishe nywele coz nilikuwa nataka Kusuka yebo...
No shave November,
Nini maana yake?
Dunia ina mengi....
Hiki ni kipindi cha mwezi mmoja wa kumi na moja ambapo wanaume huweka utaratibu wa kuachia/ kutokunyoa ndevu zao kwaajili ya la kusave...
Wanabodi nawasalimu sana!
Mi nimeshazeeka.
Mitindo ya vijana inanipita kushoto. Nambieni hiyo Pascal Wawa hapo, wa pili Kutoka kushoto, huo mtindo wake wa nywele mnaitaje huko Mjini, huku...
Kinauzwa $17million.
Kimetengenezwa na gold, patent leather, silk, na kupambwa na 236 diamonds.
15 carat flawless D-diamond center piece at the tip of each shoe.
Viko Dubai, ukihitaji Info zaidi..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.