Handsome-up..

Mtoto mkubwa

Member
Dec 29, 2014
68
23
Naomba kuuliza, Ntapata wapi hansome up, kwa hapa dar. anaejua anijuze na je beiyake shilingi ngapi, Ahsante..
 
Ndo nn hyo
hii
images-5.jpeg
 
doh, uyu jamaa kaamka breki ya kwanza anataka arefushe uume ? aisee, sisi tuko kiwandani uku tunachapa kazi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hata hicho ni kiwanda kwa kiasi chake coz kinazalisha

za asubuhi bwana drone drake , naeza pata drone za kufanya saviliensi kwa mnaodai mna viwanda ili niwe na uhakika wa kodi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ , 'nimeajiriwa' kiwandani, sina kiwanda mimi, drone=nyuki dume, drake=bata dume, maana yake nna 'dushe 2', ila siuzi zile 'drone' za kupaa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dushe ngapiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamaa anaetaka hadsome up si umpunguzie kiainaaa
 
Back
Top Bottom