Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Hey guys! I was wondering what you guys use for skincare. I'm pretty happy with mine right now (SpectroJel cleanser for blemish prone skin, EpiDuo some nights, La Roche Posay Toleriane Ultra...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba kufahamu Barber shop nzuri Arusha mjini.( Wanaozingatia usafi wa hali ya juu, wenye customer care nzuri na wanaonyoa vizuri)
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. 1. Ethiopia 2. Eritrea 3. Somalia 4. Rwanda. 5. Afrika kusini 6. Ivory coast 7. Nigeria 8. Kenya 9.Tanzania 10. Ghana.
8 Reactions
245 Replies
69K Views
Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine. Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
19 Reactions
75 Replies
6K Views
Hello, I am interested in learning about how I can take care of my skin to prevent wrinkles. Can you provide me with any advice? Thank you.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
RECIPE TO LOOK 10 YEARS YOUNGER! If you think that you need to spend a fortune and a lot of time to refresh and revitalize your face, you are wrong. You will need: 1. ½ a banana 2. 3 tablespoons...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Bustani za Mughal na Soko la Polo iliyoboreshwa. Srinagar (Jammu na Kashmir) SRINAGAR, Taji la thamani ya Kashmir,imekuwa ni nembo ya ishara ya ukaribisho kwa wajumbe kutoka nchi za G20...
2 Reactions
0 Replies
431 Views
Unawashaurije hawa vijana na ni Nini kinakujia akilini ukimuona kijana wa kileo amevaa hivi?
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu hivi hizo fila bado zinapatukana kwel kibongo bongo. Na ambao waliozivaaga kipind hicho watuambie ni bei gani ilikua enzi hizooo.
3 Reactions
3 Replies
782 Views
Kuna mambo yanastaajabisha. Siku moja nipo kwenye daladala kuna mlokole akawa kapanda akaanza kuhubiri. Katika mahubiri yale akasema mwanamke kuvaa suruali ni dhambi. Nikajiuliza maandiko gani...
5 Reactions
118 Replies
5K Views
Hii fashion nimeanza kuiona inashika kasi sana, sidhani kama inaleta picha nzuri sana, ni mawazo yangu tu. Hasa Dar. Tena vikaptula vyenyewe vina marangi rangi na maua maua. What is this?
14 Reactions
92 Replies
24K Views
Ina shangaza ndio, na ina weza isiaminike lakini huo ndio ukweli. Maji ya mchele yana faida kubwa katika nywele una weza kuuliza kivipi na nani yame msaidia, ina semekana kabila la Yao kutoka...
9 Reactions
28 Replies
7K Views
Hivi ni kweli mnakosa 3000 ya kununua mkanda mpaka mfunge na kamba za viatu wengine mnatumia utambi wa jiko la mafuta kufunga suruhali zenu kweli vijana wangu mnakosa kabisa 3000 kununua mkanda...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa wale mnaoishi maisha ya gym na diet, vip mabadiliko ya miili mnayaona?? Tunaomben ushauri hapa mazoezi yapi tufanye, diet twende nayo vip, ili kupunguza kilo maana zimeongezeka kwa kasi...
5 Reactions
49 Replies
9K Views
Tattoo zina tafsiri chanya huko majuu, lkn siyo hapa Bongoland. Watu wengi wanatafsiri tattoo kama uhuni (wezi, makahaba na maraibu wa madawa ya kulevya). Hakuna mwanaume atakuoa mwanamke...
11 Reactions
80 Replies
6K Views
Rangi za mavazi (haswa za ndani) huwa zinaleta msisimko wa mapenzi, na kuna rangi zingine ukiziona zinakata ladha. Rangi Kama: (1) Nyeupe, mwanamke akija na rangi ya namna hii NALIA NGWENA huwa...
11 Reactions
141 Replies
8K Views
Mimi ni mnene mno. Naomba kufahamishwa aina za mavazi akivaa mtu mnene anapendeza. Please ninaomba msaada kwenye hilo. Ila ikitokea nimevaa vest nyama za mbavuni zina hang na kuchora mistari...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Hello wanajamii forum, mimi ni kijana wa kiume kweny 20s age, Nina changamoto ya kupata chunusi baada ya kupunguza masharubu wakat mwingne yanakua magumu na kufanya upande mmoja wa shavu kuwa...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari, Watu wa masuala ya urembo na utanashati. Mimi ni kijana wa kiume. Ningependa kupata muongozo wa mavazi ya kawaida (casual wear ) kwa ajili ya kuendea date kwa kijana wa kiume. Nimejipata...
7 Reactions
112 Replies
9K Views
Yani nikitoka kuoga nikijifuta kichwani nywele zinabaki na vipamba vyeupe na ni vigumu sana kutoka. Kwa mataulo ya mtumba mimi niliyashindwa, yani nikifikiria tu kwamba mtu kalitumia kujifutia...
0 Reactions
3 Replies
648 Views
Back
Top Bottom