What do I do to look young than my real age?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,112
45,812
Hello, I am interested in learning about how I can take care of my skin to prevent wrinkles. Can you provide me with any advice? Thank you.
 
English

images (1).jpeg
 
Mama yangu alikuwa ananikataza kukunja uso hasa juani, sasa najua kwa nini. Nina ndita moja hio inanipeleka uzeeni kwa sababu nilikaidi.
Sasa epuka kukunja uso mkuu.
Kula matunda, kunywa maji, usile fat na carbohydrate kupitiliza.
Epuka jua na vumbi vinakomaza sura.
Nyumbani Kigoma tuna amini makes fresh hatuza ngozi, ongezea parachichi, mayai, tikitik nk
Kama huwezi kuvitumia moja kwa moja nunua lotion zake.
Usisahau sex huchochea kuchosha mwili.
 
Sikweli. Ila nidhamu binafsi.Wengi tu pesa zinawaongezea uzee mfano pombe wanawake,stress za kubwa.
Ni kweli,nidham ifate baada ya kupata hizo pesa,asa utaonekanaje mdogo wakati hata hele ya scrub huna,kila siku unakula dagaa
 
Kunywa maji mengi kula matunda pendelea scrub ya majani ya mpera unga wa mchele na asali,kiin cha yai na asali walau marambil kwa week pia epuka kutumia vipodozi vikali
 
Tafuta tu pesa mkuu, ukishakuwa nazo uso wako utarudisha nuru na kupendeza sana
 
Back
Top Bottom