Mwanamke ukijichora tattoo, huolewi "ng'o!

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,408
Tattoo zina tafsiri chanya huko majuu, lkn siyo hapa Bongoland. Watu wengi wanatafsiri tattoo kama uhuni (wezi, makahaba na maraibu wa madawa ya kulevya).

Hakuna mwanaume atakuoa mwanamke uliyechora tattoo kwenye mapaja, sehemu za siri, kwenye titi, mabegani ama mikononi. Haya yote ni maeneo ambayo mwanamke hapaswi kushikwa shikwa na mwanaume asiye mmewe.

Kwahiyo mwanamke mwenye tattoo anatafsiriwa kama kahaba aliyepitiliza viwango vya ukahaba. Utadoda na kuzalia kwenu halafu kliniki utasindikizwa na babako na kakako (aibu ya mwaka hii)

Ni mm kungwi la kitaa Sexless

816D8882-1C18-4391-A969-444023DFA927.jpeg
 
Wivu Tuu....

Mwenyewe Umechora Ya Takon Mbona Umeolewa?

Au Hutaki Wenzio Waolewe Kama Wewe?

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
 
Ni ulimbukeni tu kuhusisha vitu na tabia za mtu.
Unaweza kuta asiekuwa na tattoo akawa kahaba mapepe kuliko hata mwenye tattoo mwili mzima.
Hapana. Tabia huendana na mitindo ya muonekano na mavazi. Usitake tuamini mwanaume ambaye siyo shoga anaweza kujiremba kama mwanamke.

Usitake tuamini mtu ambaye siyo mbuga bangi anaweza kuongea kama teja.

Usitake tuamini mwanamke amabye siyo kahaba anaweza kuvaa vikuku, kijichora tattoo na kujipodoa kuliko pitiloza.

Acha kutafuta uchochoro wa kuficha maovu yako
 
Back
Top Bottom