Ushauri wa mazoezi na diet

Kwa wale mnaoishi maisha ya gym na diet, vip mabadiliko ya miili mnayaona?? Tunaomben ushauri hapa mazoezi yapi tufanye, diet twende nayo vip, ili kupunguza kilo maana zimeongezeka kwa kasi..
kwa uzoefu wangu niliwahi kujaribu vyote

asikwambie mtu kuvi maintain ni shida (kwa upande wangu) sana na yataka moyo sana na wachache sana wanaweza hivi

GYM kila siku mazoezi sahihi na kwa wakati sahihi na kubalance chakula vizuri

Diet kila siku uzingatie mlo kamili, usileusile ovyo tu...

Hapohapo usichanganye chakula, mara ujisahau, mara ujisikie uchovu, mara nitafanya kesho, mara wiki hii sinywi soda/beer...mara wiki hii nitalala mapema

ILIFIKIA HATUA NIKASEMA BWANA EEE.. POTELEA MBALI MAISHA NDIO HAYAHAYA YANINI KUJITESAAA, cha kufia nini kujibanabana😂😂🤣🤣
 
kwa uzoefu wangu niliwahi kujaribu vyote

asikwambie mtu kuvi maintain ni shida (kwa upande wangu) sana na yataka moyo sana na wachache sana wanaweza hivi

GYM kila siku mazoezi sahihi na kwa wakati sahihi na kubalance chakula vizuri

Diet kila siku uzingatie mlo kamili, usileusile ovyo tu...

Hapohapo usichanganye chakula, mara ujisahau, mara ujisikie uchovu, mara nitafanya kesho, mara wiki hii sinywi soda/beer...mara wiki hii nitalala mapema

ILIFIKIA HATUA NIKASEMA BWANA EEE.. POTELEA MBALI MAISHA NDIO HAYAHAYA YANINI KUJITESAAA, cha kufia nini kujibanabana
Hahaaa
Lkn kwa miez hyo uliyofanya uliona mabadiliko??
 
To mantain the desire nutrition status inatakiwa ucheze na vitu viwili input na output yaan amount of energy you consume in meal in kcal na amount of energy expenditures in kcal hivyo ndo ucheze navyo so ukitaka kupunguza uzito usikimbilie kufanya mazoez restrict energy consumption(kuna mambo mengi ya kufanya ) increases energy expenditures (kuna mambo mengi pia) utapata negative energy balance the weight will decrease outomatically
Note be careful when you are restricting diet to avoid hidden hunger
 
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu kinaitwa calories. Tafsiri isiyo rasmi ni kiwango cha nguvu kilichopo kwenye chakula/kinywaji. Kisayansi, by average mwanaume anahitaji calories 2500 na mwanamke 2000 kila siku ili kumaintain. Sasa Unapokula chakula au kunywa drinks, mwili unatumia calories unazozihitaji tu (i.e 2500 au 2000) zozote zinazozidi zinahifadhiwa kama fats, na hapo ndio unaanza kunenepa.

Ili kupungua, inakupasa upunguze kula au kunywa vinywaji vyenye calories nyingi nyingi. Mfano kama beer, wali, chips au vyakula vya mafuta/kukaanga, keki, ugali, sambusa n.k. Badala yake kula sana vyakula vinavyoshibisha ila vina calories chache in comparison mfano Nyama choma, kuku, matunda kama tikitimaji, vegetables, eggs, milk, diet soda n.k

Ukizingatia hivyo tayari utaanza kupungua. Pia, kwenda gym ni vizuri. Kwa sababu unapofanya mazoezi unaongeza matumizi ya calories kitu ambacho kinasaidia kupungua. Kama unafanya mazoezi ya aerobic ni mazuri kwa afya njema ya moyo. Kunyanyua vyuma ni njia mojawapo nzuri kwa kuchoma mafuta mwilini, kama unazingatia diet (hauli ovyo) basi calories zitakazotumika kunyanyua vyuma zinatoka kwenye fat reserves ya mwili wako.

Nina miaka miwili na miezi miwili tangu nianze gym, lengo lilikua kuondoa kakitambi. Nimefanikiwa hilo na zaidi. Sasa hivi kupiga chuma imekua ni lifestyle yangu. Kitu cha msingi ni juhudi na uvumilivu. Kupunguza kitambi/mafuta na/au kujenga misuli sio kitu cha muda mfupi. Inategemea na unaanzia wapi ila it can take you several years kufika lengo. Kwa mimi nilikua skinny fat mwenye kakitambi ilinichukua kama miezi 8 kukaondoa kwa kunyanyua tu vyuma. Now napambana kujenga tu body one gym session at a time.
 
acha kula wanga kabisa na sukari kwa mwezi mzima mazoei kidogo tu sio yale ya kujichoshaaa, utanishukuru baadae.

mimi nilianza rasmi diet may 2021. kufikia October nikapungua 15kg. nipo na maintain nao. nilikuwa 104kg sasa 89kg. niataanza tena baadae.target 80kg

kula proten za wanyama kula mpaka ushibe(nyama aina zote mradi inaliwa na binadamu)
nuts za kwenye miti (korosho etc)
mayai
samaki kula mpaka ushibe
mboga za majani zinazoota juu(cabbage, mchicha, spinachi na nyinginezo) kula mpaka ushibe
boga
matunda ni parachichi na tango tu. usile yale yenye sukari sijui Maembe mananasi,

kunywa maji

mazoezi kidogo uwe fit please consistency ni muhimu

nakutakia mema
 
Somo limeeleweka..
Asante
 
Asante..
 
kwa uzoefu wangu niliwahi kujaribu vyote

asikwambie mtu kuvi maintain ni shida (kwa upande wangu) sana na yataka moyo sana na wachache sana wanaweza hivi

GYM kila siku mazoezi sahihi na kwa wakati sahihi na kubalance chakula vizuri

Diet kila siku uzingatie mlo kamili, usileusile ovyo tu...

Hapohapo usichanganye chakula, mara ujisahau, mara ujisikie uchovu, mara nitafanya kesho, mara wiki hii sinywi soda/beer...mara wiki hii nitalala mapema

ILIFIKIA HATUA NIKASEMA BWANA EEE.. POTELEA MBALI MAISHA NDIO HAYAHAYA YANINI KUJITESAAA, cha kufia nini kujibanabana

Kuna kitu kinaitwa calories. Tafsiri isiyo rasmi ni kiwango cha nguvu kilichopo kwenye chakula/kinywaji. Kisayansi, by average mwanaume anahitaji calories 2500 na mwanamke 2000 kila siku ili kumaintain. Sasa Unapokula chakula au kunywa drinks, mwili unatumia calories unazozihitaji tu (i.e 2500 au 2000) zozote zinazozidi zinahifadhiwa kama fats, na hapo ndio unaanza kunenepa.

Ili kupungua, inakupasa upunguze kula au kunywa vinywaji vyenye calories nyingi nyingi. Mfano kama beer, wali, chips au vyakula vya mafuta/kukaanga, keki, ugali, sambusa n.k. Badala yake kula sana vyakula vinavyoshibisha ila vina calories chache in comparison mfano Nyama choma, kuku, matunda kama tikitimaji, vegetables, eggs, milk, diet soda n.k

Ukizingatia hivyo tayari utaanza kupungua. Pia, kwenda gym ni vizuri. Kwa sababu unapofanya mazoezi unaongeza matumizi ya calories kitu ambacho kinasaidia kupungua. Kama unafanya mazoezi ya aerobic ni mazuri kwa afya njema ya moyo. Kunyanyua vyuma ni njia mojawapo nzuri kwa kuchoma mafuta mwilini, kama unazingatia diet (hauli ovyo) basi calories zitakazotumika kunyanyua vyuma zinatoka kwenye fat reserves ya mwili wako.

Nina miaka miwili na miezi miwili tangu nianze gym, lengo lilikua kuondoa kakitambi. Nimefanikiwa hilo na zaidi. Sasa hivi kupiga chuma imekua ni lifestyle yangu. Kitu cha msingi ni juhudi na uvumilivu. Kupunguza kitambi/mafuta na/au kujenga misuli sio kitu cha muda mfupi. Inategemea na unaanzia wapi ila it can take you several years kufika lengo. Kwa mimi nilikua skinny fat mwenye kakitambi ilinichukua kama miezi 8 kukaondoa kwa kunyanyua tu vyuma. Now napambana kujenga tu body one gym session at a time.
Uko sawa mkuu, mimi nina zaid ya miaka kumi gym, niko vizuri mno, gym ni sehem ya maisha yangu.
 
Nimeanza jogging sasa nna week moja! Kila jioni nakimbia 3.5 km! Sema mimi nafanya kujiweka tu fit, sina kitambi wala unene😂😂!Huwa sili chips kabisa na vyakula vya mafuta, pia situmii soda, bia!! Ila mazoezi ukiyazoea inageuka furaha yako! Kama una mda fanya mazoezi!
 
mkuu jitahid uongeze elimu ya lishe utakuwa na matokeo bora zaidi
 
Back
Top Bottom