Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana.
Kuna siku...
Wakuu.
Mimi asilimia 80 ya madundo a.k.a viatu nannuliaga bar...hawa chingaa wanaopitaga bar huwaga wanatushikaa kwa kweli...ni experience yangu lakn kiasi huwaga siez endaa Sehem kuchagua viatu...
Relaxer ni dawa ya nywele inayofanya nywele za mtu mwenye ngozi nyeusi wa asili ya Afrika zilainike na kunyooka kama nywele za wazungu, waasia au waarabu, watu wengi hasa wanawake wanapenda...
Viatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?
Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu...
Habari I Wakuu
Shida yangu ni moja.. Nina viatu vyangu brand "Clark" hvi majuzi vimemwagikiwa na mafuta ya nywele almaarufu "Olive" ambayo yamekuja kutengeneza madoa ambayo yameonekana ni magumu...
Mimi ni Kijana, Na haya ndio mavazi yetu, labda kwa kuwa Kila kitokacho Ulaya ni kinafaa Afrika.
Lakini pengine kina nisichojua, So naomba elimu juu ya maana ya vazi hili.
Mimi ni mpenzi sana wa hivi viatu,brogues. Kwa mnaojua viatu, ninadhani mnajua heshima inayoletwa na viatu hivi. Pia ,ni timeless.
Lakini ,sijui inakuwaje? Kila nikinunua, nikivaa sijisikii...
Habari za mida hii wadau, natumaini tunaendelea vyema na mihangaiko ya kila siku.
Naomba kujua njia gani nzuri/ mafuta ya kufanya nywele ziwe na weusi mzuri bila kutumia material kama "super...
Huwa sipendi mwanamke wangu atumie cream ya aina yoyote au mafuta yatakayo mbadili rangi yake ya asili au kumfanya kuwa mweupe,, kuna mtu kamshauri kuwa top lemon ni nzuri,,
Naomba ushauri wako...
Habari zenu wana urembo,
Naomba msaada wa kupewa ushauri wa moisturizer gani nzuri kuupaka usoni kwa wale wenye combination skin or oily skin uso wangu una mafuta ambayo hayachemki bali...
Wanasifika kwa kuwa na Kipulilo aka Komwe. Nini Chanzo cha Tatizo hilo? Unakuta dada mzuri tu maskini sura huku chini inavutia ila ana Komwe. Na nywele zimeanzia karibu na kati kati ya kichwa...
Habari zenu watanashati nina shida leo Naomba msaada hivi mnawezaje kuchagua nguo kwenye mtumba tena zile grade nzuri kabisa mbona mimi nimeshindwa kila nikinunua nguo mtumbani nikifika nyumbani...
Habari wakuu,
Nimewakumbuka sana,
Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.
Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B...
Changamoto ya utafutaji wa mavazi kwa upande wa wanaume ni kubwa kwasababu wafanya biashara wengi wanalenga soko la watu wenye urefu wa juu wastani kwasababu hata sisi tulio na urefu wa chini...
Habari wadau,
Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimezaliwa kijijini na kukulia huko. Mjini wa mara ya kwanza nilikuja kwaajili ya masomo.
Pamoja na kwamba kazi yangu inanilazimu kuvaa kistaarabu, bado...
Habari wakuu.
Ni maeneo gan mjini dar es salaam nitapata maduka ya nguo nzuri za kiume ukitoa kariakoo(pananichanganyaga nashindwa kupaelewa). Yaani jeans kali na tshart zenye quality nzuri kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.