Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Unamkuta mdada kajikoboa ,make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake ila ananuka kwapa, jasho mpaka unahisi kichefuchefu. Mbaya upande naye kwenye daladala yaani una suffocate...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Umevaa mchuchumio (high heels) afu unatembea umbali mrefu...eti Kimanga mpaka Kinyerezi siyo mbali ujue😳 napita shortcut😎...sawa siyo mbali mwenyeji wetu...sasa ndo utembee umevaa mchuchumio...
15 Reactions
104 Replies
4K Views
Wakuu habari za majukumu. Nisiseme mengi sana, ni nani alisema/kutuambia bwana harusi anatakiwa kuvaa suti wakati wa harusi? Maana naona kila mwanaume anayeoa anavaa suti.
1 Reactions
3 Replies
646 Views
Bila shaka hamjambo wana Jf, nisiwachoshe nahitaji mashati kama haya niliyoambatanisha na hii thread kwa hapa Dar. Natanguliza shukurani zangu.
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Kuna kale karaha mtu upo huko katika shughuli zako umevaa nguo bado zipo fresh, Sio unapita sehemu nguo imepauka/rangi zimefifia yani hata mtu akikuangalia mara mbili unajua tu hapa kipengele ni...
10 Reactions
122 Replies
11K Views
Niliwahi pata kiatu kigumu sana, ni kizuri yani tangu 2020 mpaka sasa kinadunda poa tu, Ajabu ni kwamba hata sikuomba kupunguziwa bei maana kilikuwa elf 15 tu, laiti ningeenda dukani...
1 Reactions
7 Replies
895 Views
Habari zenu wakuu, hapa bongo soko la nguo kuna baadhi yetu lishatutoa knock out, unaweza kwepa midosho ya elf 15 ukaenda kwenye duka la cadet za elf 40 ukazani hapa ndio penyewe kumbe mambo yale...
0 Reactions
8 Replies
909 Views
Kwa wajuvi wa kuulamba jijini Dar es Salaam Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji mtaalamu wa kubuni na kushona nguo za kike na kiume. Awe mkali katika suti na mavazi mengine ya me na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni mara kadhaa nakutana na nguo ikiwa na kidude chenye lebo au maandishi ya kumtaka mtumia nguo kukikata au kukiondoa kabla hajafua au kuivaa nguo hiyo. Nauliza je kama pana mtu ameshakutana na...
2 Reactions
69 Replies
8K Views
Kila aina ya mavazi ina sehemu zake maalumu kuvaliwa. Kuna kituo kimoja maarufu cha tv watangazaji wake wamekuwa wakiingia studioni na mavazi ya kidini kuanzia kichwani hadi miguuni. Je ni...
2 Reactions
4 Replies
791 Views
Habari wapendwa nilikuwa naomba kwa mwenye kufahamu namna ya kutengeneza lotion za kun'garisha serum lotion za kuondoa sugu nk. Anipe darasa au connection wapi wanafundisha
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Nguo niliyoona kwa mchina Na ilivokuja kutokea bongo
27 Reactions
73 Replies
6K Views
Naziona sana aina hii ya nguo, ama kwenye mwili wa mwanamke au madukani. Kitamaduni nguo hii ni maalumu kwa ajili ya kuuficha uchi ili usionekane kirahisi na kuutia joto ubaki na vuguvugu. Naona...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
bei cheee nauza hivi vifaaa kwa bei poa dryer 150,000, stima 80,000 , viti 50,000@, chanja za ukutani 35000@, Kioo 70,000 ( kina crack kidgo. na vingine wife kapata ajira rasmi anauuza ukinunua...
4 Reactions
4 Replies
875 Views
Hii ni "Jeans" ambayo imepewa Jina la Balenciaga Men Destroyed na inapatikana kwa thamani ya dola 2,450 ambazo ni zaidi ya Shilingi milioni tano (5.700.000) za kitanzania. Sent from my TECNO...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Baadhi ya wanawake wanatabia ya kuanika chupi kwenye kamba bila kujali wanaishi na nani je, iko sawa?
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu ndevu zangu naona haziko na color nzuri, so nahitaji nipate superblack nzuri ambayo ni special kwa ndevu au any black material ili ndevu zangu ziwe na muonekano mzuri zaidi. Ipi ushawahi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ... Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio...
0 Reactions
4 Replies
645 Views
Kwa mujibu wa Mtandao wa KRONOS 360, Hizi saa ndio zinaongoza kwa kuuzwa gharama kubwa kwenye minada duniani. Kumbuka ni kati ya saa zilizotengenezwa kwa oda maalumu au chache. Hivyo sio rahisi...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
Back
Top Bottom