Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Mnakamia sana make up hadi mnageuka kituko. Mnasiliba mno hadi inakuwa kituko. [emoji38][emoji38][emoji38] Shogangu sawa humudu make up ya kisasa, si utafute tu hata poda ya kuendana na ngozi...
6 Reactions
64 Replies
4K Views
Wakuu, Kuna hii taarifa hapa na hata jana tu simesikia, dada kaweka nywele zake dawa akisema akichoka kuwa na nywele hizo zenye dawa basi ataziosha kwa kutumia kinywaji cha Coca-Cola na nyele...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wapendwa.ninaimani mko salama salimini. Naomba msaaada wa kujua zilipo ofisi/duka la oriflame/sehemu ninapoweza kupata vipodozi vya oriflame 😊 Natanguliza Shukrani Chakorii 🤸‍♀️🤸‍♀️
3 Reactions
6 Replies
869 Views
Habari wanajamii forums, Kwa wale wataalamu wa ngozi nilikuwa naomba kufahamishwa ni kitu gani ninaweza kutumia ili kulainisha ngozi ya mikono? Maana ni sehemu pekee imekuwa na ngozi kavu na...
6 Reactions
74 Replies
7K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa hapo juu, Nasema na wewe dada /kaka ambaye unapenda kuvaa nguo nyeupe ila mchafu... Najua unapenda nguo nyeupe Ile wewe mchafu hazikupendi... Unalazimisha Nini...
8 Reactions
53 Replies
2K Views
Hivi wanawake mnajua kwamba mkijipaka hayo mnayojipaka kupitiliza mnapoteza kabisa maana. Yani ni mayai sijui mnajimwagia.. Halafu unaposimama mbele ya watu kuhutubia. Mambo ya msingi kabisa...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
My Take Toa Kenya,Ghana na Zimbabwe Kwenye list weka Eritrea,Burundi na Madagascar https://twitter.com/zoomafrika1/status/1695778429856014649?t=jggqQmSCeSPS5NYzHq9MxA&s=19
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kumekuwa na fashoni ya kunyoa nywele kwa wanawake na wadada. Yaani wananyoa halafu wanapaka na bleach kwenye nywele. Wanaopendeza sana...
3 Reactions
68 Replies
5K Views
- Mwanaume usijimalize kama yule jamaa wa Mwanza, ni ujinga lakini tutaendelea kuelimishana - Mwanaume ukijipenda... Mwaka 2013 TV one palikuwa na kipindi kinaitwa Boys Boys kilichokuwa...
20 Reactions
15 Replies
2K Views
Hbr zenu wandugu, hope mko poa. Mimi ni maji ya kunde kidogo na my skin is a little bit dry kwa sasa nataka nianze kupaka palmers body cream and oil pamoja na face cream yake. Kwa anaye yajua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari za majukumu, binafsi ninasumbuliwa sana na mba kwa miaka mingi ni mba wa kichwani unashuka hadi usoni. Nimeshatumia dawa za pharmacy zinanisaidia kwa muda mfupi then unarudi tena...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Habarini za Ijumaa wana mazoezi na wadau wote, Eti kujipulizia unyunyu muda wa kwenda mazoezini huwa kuna muingiliano na performance nzuri kwenye mazoezi?
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Unakuta mwanaume nguo ya ndani hajafua Wala kuivua mwezi mzima na joto hili la Dar, huwa najiuliza sana hivi kweli umetoka bafuni kuoga utarudia kuvaa boxer hiyo hiyo? Boxer imekuwa nyeusi tii...
12 Reactions
118 Replies
6K Views
Habarini wana jamii, naomba msaada wa kuyajua haya mafuta tajwa hapo juu. Nahitaji mafuta mazuri ya kung'arisha mwili mzima ambayo ntachanganya na lotion au ntapaka juu yake. Nataka kufahamu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni anaejua dawa, sabuni, mafuta au lotion inayoweza kuondoa upele usoni mabaka na chunusi. Kiukweli uso wangu umetokewa na upele mwingi naombeni msaada
6 Reactions
26 Replies
6K Views
Habar zenu. Mwenye kujua dawa ya kutoa michiriz mwilini kwa haraka tafadhali maana inanikera na sijui nipake kitu gani itoke, inaninyima confidence kabisaa Kama dermatologist yupo anisaidie...
6 Reactions
120 Replies
8K Views
Wakuu, Naomba ushauri wa kitaalamu. Ni mafuta au cream gani nzuri kwa ajili ya kufuta makovu ya moto(burn scars)first degree burn kwa watoto. Ahsante.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hey Guys! Mmeshindaje? Nimenunua hii lotion leo, kwenye instructions naona imeandikwa “ smooth on hands and body as often as needed..” Ina maana haifai kwa matumizi ya uso? Inaleta madhara...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za wikiendi? Naomba kuuliza wadada/wanawake wote hasa wa Tz imezuka tabia mbaya sana ya kuacha mabega wazi kwa magauni/blauzi zao? Lengo ni kitu gani waonekane wana Chuchu saa 6...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane! Kwanza kabisa nipende kuchukua nafasi hii kusema ya kwamba ujumbe huu si kwa wanawake wote bali ni baadhi ya wanawake tu. Kumekuwa na wimbi kubwa la...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom