Maduka ya nguo nzuri za kiume Dar?

Uswiss

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
842
2,160
Habari wakuu.

Ni maeneo gan mjini dar es salaam nitapata maduka ya nguo nzuri za kiume ukitoa kariakoo(pananichanganyaga nashindwa kupaelewa). Yaani jeans kali na tshart zenye quality nzuri kwa bei ya kawaida mfano jeans isizidi 30,000 na tshirt isizidi 20,000 ziwe special au mtumba..

Japokua napendelea mitumba zaidi ile ya grade one.. Kwa anaejua machimbo hapa mjini dar es salaam naomba muongozo tafadhari .

Asante.
 
habari wakuu.
ni maeneo gan mjini dar es salaam nitapata maduka ya nguo nzuri za kiume ukitoa kariakoo(pananichanganyaga nashindwa kupaelewa). Yaani jeans kali na tshart zenye quality nzuri kwa bei ya kawaida mfano jeans isizidi 30,000 na tshirt isizidi 20,000 ziwe special au mtumba.. Japokua napendelea mitumba zaidi ile ya grade one.. Kwa anaejua machimbo hapa mjini dar es salaam naomba muongozo tafadhari . Asante.
Kariakoo imeharibiwa sana na machinga. Hakupitiki kabisa vurugu mtindo mmoja. Enzi zile ningekushauri nenda kariakoo kwa makoba🤣🤣 kwa sasa bora uende maduka ya pembezoni tu. Sinza au tabata
 
Kariakoo imeharibiwa sana na machinga. Hakupitiki kabisa vurugu mtindo mmoja. Enzi zile ningekushauri nenda kariakoo kwa makoba🤣🤣 kwa sasa bora uende maduka ya pembezoni tu. Sinza au tabata
Dah huyu makoba alifilisika au nini shida mpaka akina vunja warembo akaja juu na kufika top na sasa ndo ana run the industry na nguo zake fambastic
 
Wenye uhitaji wa Nguo aina ya Brand Ya African Boy Jux wanione tunauza
 
Ni online tunapatikana kinondoni delivery ipo
Saivi Jeans nyingi za kiume zinazouzwa na wanazovaa vijana ni za Kike. Hata wauzaji wa nguo wengi hawajui Nguo. Unamwambia nahitaji "Slim Fit" au "Regular" Jeans unaishia kupewa Jeans ya kike chini imebana miguuu🤣🤣🤣
 
🤣🤣Karibuni Tshirt matajiri wangu Tshirt 14k only za dukani nzury nzito
 

Attachments

  • IMG-20230610-WA0022.jpg
    IMG-20230610-WA0022.jpg
    86.8 KB · Views: 26

Similar Discussions

Back
Top Bottom