Haya mavazi ya Kipa wa Yanga, Diarra yanafikirisha sana

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,449
16,324
Viatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?

Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.

Kwa timu iliyofika fainali ya shirikisho, wachezaji wake hawapaswi kupitia haya, kwenye hizo bilioni kadhaa, wapeni wachezaji wenu hata milioni 20 tuu kila mmoja ili hizi aibu ndogondogo zisijitokeze..

20230605_114918.jpg

-von819.jpg
 
View attachment 2646665

View attachment 2646666
Wewe ni mjinga, kumbe nchi hii wajinga wengi hata jamii forum wamo. Acha unazi unaokutoa hata kwenye mstari . Una roho mbaya kuliko hata shetani
 
Wachezaji wazawa hawana tofauti na wafanyakazi wazawa kwenye makampuni yanayoajiri wageni.

mindset ya waajiri
 
Wewe ni mjinga, kumbe nchi hii wajinga wengi hata jamii forum wamo. Acha unazi unaokutoa hata kwenye mstari . Una roho mbaya kuliko hata shetani
Sio uongo
~Koti la Fei toto na kibwana lilikua la mtumba
~Suti ya mwakalebela ni hudhuni
~Diarra kavaa buti la mtumba tena alilonunua kule kwao
~Wachezaji wa UTO kwq ground wanamaisha magumu sana
20230319_181330.jpg
 
Sometimes kuvaa vizuri au kua smart ni tabia ya mtu tu au maamuzi yake ila haimaanishi mtu huyo kua hana hela,inategemea pia na hilo tukio alilichukuliaje,huenda ameona ni tukio la kawaida tu,
Nina imani akienda ikulu kwenye mualiko atavaa vizuri tu coz atalichukulia hilo tukio ni muhimu zaidi kwake,kingine hakuenda hapo wasafi kuuza sura,

Yangu ni hayo tu kwa leo.
 
Ninachoona ni kuwa, huenda alikuwa amevaa vema tu. Sasa kufika huko Studio kukabidhiwa kitita ikamlazimu kuvaa Tshirt la Utopolo.

Kuvaa huko kukaharibu code kabisa.
 
Back
Top Bottom