Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari zenu wana JF nina ndugu yangu ana uso wa namna hiyo msaada maana uso wake una mafuta mengi black spot n vitobo vitobo dawa yake ni nini????
0 Reactions
20 Replies
13K Views
Leo kampuni ya kutengeneza baby powder Johnson & Johnson wameamriwa walipe fine ya dollar million 55 kwa mwanamke aitwaye Gloria. Kesi hii inasemekana madai ya huyo mama ni kwamba talcum powder...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mambo, naomba tushare saloon wanaopamba vizuri ambazo hawapaki mamakeup mengi saloon gani nzuri na mtu anaepamba vizuri
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Watu wa kupenda fashion mara nyingi tunakuwa tuna sehemu zetu za kununua mavazi kama nguo, kofia, wallet, mabegi, miwani, saa za mkononi nk nk.. Pia vitu kama perfumes, jewelries nk... So...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Ukiwa unawaza kupiga pamba zako huwa unawaza kumechisha? Rangi gani unapenda kuvaa na zinazochukua asilimia kubwa ya nguo zako? Vitu nisivypenda kuvaa: -Suruali za kitambaa -Nguo zenye rangirangi...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Tatizo la Chunusi na Namna ya Kulikabili[emoji68][emoji68][emoji68][emoji68] [emoji654][emoji68][emoji68]Chunusi ni jambo la kawaida wakati wa balehe na zinatokea kwa sababu Mvulana au msichana...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Ukiacha raizon viatu, pekosi au bugaluu suruali, klimplin mashati na afro nywele miaka ile ya sabini, miaka ya tisini kuna mitindo ilivuma nikikumbuka huwa nacheka sana! Unakumbuka ...
0 Reactions
15 Replies
14K Views
Hello ,mambo vipi? Natumaini wote mko salama kabia, sasa leo nimekuja na mbinu ya kupunguza uzito kwa haraka ,note hii mbinu sio health ila tuiite crush plan!kwhyo usifanye mwaka mzima usije...
4 Reactions
59 Replies
21K Views
Kama kuna fashion ambayo imeniteka ni hii ya shift dresses. Naweza kukaa hata masaa sita naangalia shift dresses online. Nadhani ni aina ya style ambayo inaweza kumpendeza mtu yeyote yule...
4 Reactions
6 Replies
6K Views
KARIBU ORIFLAME KWA BIDHAA BORA KABISA ZA VIPODOZ KWA WANAUME NA WANAWAKE [emoji117]KUNA SCRUB NA TONER,kwa ajili ya kuondoa chunusi na sumu za cream zenye kemikali zilizoharibu na kuunguza ngozi...
2 Reactions
0 Replies
7K Views
Apo chacha! Wanawake wanaotumia kope bandia wanahofiwa kuwa na hali ya hatari ya kupata upofu wa macho kutokana na gundi wanazotumiwa kutumia kope hizo kuripotiwa kuripotiwa kuwa na athari kwenye...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Habari za Jumapili wakuu, Nimekuja kwenu nina tatizo moja, nina mchumba wangu ninampenda sana kwakweli ila ana tatizo la chunusi ambapo hili swala linamkosesha raha na hata Mimi pia. Natamani...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Salaam! Natarajia kufunga ndoa mapema mwezi ujao. Naombeni ushauri ni pete gani nzuri kwa sasa zinazofaa kwa hiyo shughul ya harusi? Ushauri wenu wadau, picha zitanieleweza zaidi wana jf.karibuni
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nadhani sasa wasichana wa kibongo kuna mganga anawadanganya kuwa ukiwa na midomo ya namna hii wewe utaonekana mtamu, kitu kilichoperekea kila mschana kupiga picha akiwa amekunja midomo kama...
5 Reactions
58 Replies
6K Views
Unapoingia dukani , kabla hujafungua mkoba, wallet au kunyofoa hela mfukoni kununua jeans, ni vitu gani huwa unavizingatia sana kabla hujasema "yeah, hii jeans kweli kali muhudumu nipe hii"? Mimi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
kuna vitu kama mwanamke naviangalia na naishia kusikitika.. hivi inakuaje hili wimbi la wanaume kwa kasi ya ajabu kujiremba? hivi mwanaume kujichubua ni ili awe mrembo au? wameenda mbali mpaka...
2 Reactions
106 Replies
12K Views
wamependeza ile kinoma
4 Reactions
22 Replies
11K Views
Nilipataga ajali nikaumia katika shavu langu la kushoto nikawa na kidonda baada ya kupona pakabaki kovu jeusi halitaki kuftika naomba kwa anaejua dawa anifahamishe tafadhari
1 Reactions
20 Replies
12K Views
Back
Top Bottom