T Tripple D Senior Member Sep 3, 2013 187 61 Jun 21, 2016 #1 Mambo, naomba tushare saloon wanaopamba vizuri ambazo hawapaki mamakeup mengi saloon gani nzuri na mtu anaepamba vizuri
Mambo, naomba tushare saloon wanaopamba vizuri ambazo hawapaki mamakeup mengi saloon gani nzuri na mtu anaepamba vizuri
LadyRed JF-Expert Member Mar 19, 2016 9,636 11,480 Jun 21, 2016 #4 SIERA said: Glam madam Click to expand... Yuko vzuri,except anatoaga macho mekundu flani hivi sijui kwa nini
SIERA said: Glam madam Click to expand... Yuko vzuri,except anatoaga macho mekundu flani hivi sijui kwa nini
xuxu meyu JF-Expert Member Apr 24, 2014 426 368 Jun 26, 2016 #5 Jenheri ipo mbezbeach makonde au mfollow insta ujionee maajabu ya makeup jenheri
Reina princess JF-Expert Member Jul 1, 2015 1,322 1,499 Jun 27, 2016 #6 Maznat yuko vizuri hususan kama unapenda kubakia natural
sarah6 Senior Member May 24, 2013 134 57 Jul 1, 2016 #8 lavie makeup unaweza kumuangalia instagram kazi zake
Heaven on Earth JF-Expert Member Mar 21, 2013 37,226 26,684 Oct 25, 2016 #9 makeupbyjojo naona nae anawapaka watu vizuri
Behaviourist JF-Expert Member Apr 8, 2016 39,925 95,582 Oct 25, 2016 #10 Hatukuambii ng'oooo ni mpaka kwanza utuambie kuwa huo mtoko wako unahusu nini!