Msaada aina gani ya pete inafaa kwa ajli ya ndoa

Wild fauna

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
461
189
Salaam!
Natarajia kufunga ndoa mapema mwezi ujao. Naombeni ushauri ni pete gani nzuri kwa sasa zinazofaa kwa hiyo shughul ya harusi? Ushauri wenu wadau, picha zitanieleweza zaidi wana jf.karibuni
 
Waone nawa
46bdcdf0ac70e28b603e3c4bff49e918.jpg
mobile-gallery
 
Back
Top Bottom