Habari, Mimi nina tatizo, uso wangu umekua na rashes na makovu meusi ila sijui tatizo ni nini, nilishauriwa kutumia carotone ila nmeng'aa tu Ila makovu yenye weusi bado yapo
Msaada wenu wa mafuta...
Na weza kuingia dukani nika baki na ng'aa ng'aa macho nashindwa ni nunue ipi hapa?? Mwisho wa siku na ambulia patupu.
Labda niulize ni lotion/ mafuta gani ya uso?
Walau uso ungae vizuri naku...
Naombeni msaada wa steaming nzuri ya kupaka kwenye nywele na kuacha bila kuosha sitaki hizi za kuosha, anaejua steaming ya kuacha kwenye nywele naombeni jina lake ninunue.
Asanteni
Kinadada wengi wamekua wepesi kudanganyika na hata kupuuza rangi zao za asili, kitu ambacho kimefanya wengi ku bleach ngozi zao na kuishia kuziaribu kabisa
Embu tazama thamani na uzuri...
Natarajia kufunga ndoa siku si nyngi.napenda nivae suti ya blue, ila mie kipato changu ni cha chini kidogo kwa maana hiyo sitaweza nunua suti ya laki 5. Nataka nishone iwe simple, smart and...
*DESING AND PATTERN MAKING WORKSHOP TRAINING* POP UP FASHION inatoa mafunzo ya kudizaini nguo mbali mbali pia inatoa mafunzo ya upimaji wa nguo,kujua aina mbali mbali za...
Good morning.....
Ngozi yenye chunusi na mafuta mengi
Chukua asali kijiko kimoja
Mdalasini (cinnamon) kijiko kimoja pia
Vichanganyikane kwa pamoja,
Osha uso, upake usoni huo mchanganyiko...
Kwa ufungaji viremba almaarufu kama Gele, Karibuni sana kwa anayetaka kujifunza, natoa mafunzo hayo, na anayetaka kufungwa popote ndani ya Dar nitakufuata kukufunga.
Kufunga Gele Kitaambaa...
Nisaidieni namna ya kurejesha rangi ya uso na mikono kwa haraka sana bila athari yoyote. Kwa kuna tofauti kubwa kati muonekano wa uso na mikono ukilinganisha na sehemu nyengine mwilini.
Mambo vipi waungwana,ni wapi wanachora tatoo zile za kufutika baada ya muda flani au kuzifuta mwenyewe pindi napohitaji kufanya hivyo hata kama ni kesho yake.
Jamani nina mpenzi wangu anasumbuliwa na chunusi (sio nyingi but kwa sababu anazitumbua zinaharibu reception kwa kuacha madoa meusi)
Nahitaji mafuta/sabuni au kitu cha kutumia kitakachomsaidia...
Ladies and Gentlemen;
Lets start this week by revealing the secrete of your fresh smell
Let everyone on this forum know among all the scents you've used, which ones do you like Most...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.