mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,505
Leo kampuni ya kutengeneza baby powder Johnson & Johnson wameamriwa walipe fine ya dollar million 55 kwa mwanamke aitwaye Gloria.
Kesi hii inasemekana madai ya huyo mama ni kwamba talcum powder ambayo alikua akiitumia sehemu zake za siri imemletea ovary cancer.
Ni muhimu tukajihadhari nazo ingawa bado there is no enough research ku'support uhusiano kati ya powder na cancer.
Ila tujihadhari tu kwani Research nyingi zinakua sponsored na hizi kampuni ili kutetea products zao ni safe kwa matumizi. Kwahyo tusitegemee research ambazo zinatuambia ukweli.