(EAST AFRICA)
Martin Kadinda (Tanzania)
Sheria Ngowi (Tanzania)
Bobbins & Seif(Uganda)
Moise Turahirwa(Rwanda)
Makeke International (Tanzania)
Jamila Vera Swai (Tanzania)
Mke wangu nampa thamani ya juu kama gari ya Hummer na ningependa apendeze nje ndani. Sasa sipendi avae hizi chupi za Mwenge za buku tano, tano na ninataka nimu upgrade kwa kumnunulia chupi za...
Haya ni mavazi wanayovaa wanyarwanda kwenye harusi bila kujali kabila la mtu, harusi zote za wanyarwanda huvaa hivyo. Napenda sana mavazi yao.
Haya ni mavazi ya waganda kwenye harusi bila...
Habari zenu wapendwa.... nina tatizo la nywele zangu yaan nyepesi sana halafu kavu plus zinachomoka kila ninapochana kiasi cha kusababisha kukosa uwiano... nyuma zimekatika mpaka zinatia...
Wakuu habari za mchana nimeona mahali kuwa miss tanzania mpya ana miaka 18 na wakati huo huo tayari ana degree moja hii ni kuwa alianza form one akiwa na miaka 9 mpaka kuja kugraduate ukweli ni upi?
Kama u mrembo,unapenda mitindo hii inakuhusu
Pin It
Jane Michael Ekanem a fashion entrepreneur, fashion stylist and wedding stylist show us this fashion essential (white shirt) is needed in your...
Kaimu afisa habari wa mrembo huyo, Charles William amelazimika kutoa taarifa sahihi kwa vyombo vya habari za mshindi huyo:
Napenda kuujulisha Umma yafuatayo;
1. Miss Tanzania 2016/2017...
Habari ndugu zangu
Kwa wale waliokosa kuangalia shindano la kumpata mrembo jana kupitia channel zetu . Tafadhali pitieni hapo chini muone jinsi mambo yalivyokuwa mpaka tukampata mrembo wetu...
Salamu wanabodi
Ndugu zangu naomba mnisaidie, uso wangu unamafuta mengi sana so nilikua nauliza nifanyeje ili niweze kuyapunguza ama loshen au mafuta ama kitu chochote chenye uwezo wa kuweza...
Wakuu,
Nadhani mnajua kina Lil Wayne na watoto wengi wa kishua utakuta ana kichuma flani hivi either juu ya jicho pembeni ya nyusi au kidevuni. Ni wapi wanafanyaga hizo shughuli kwa hapo Arusha...
Msaada jaman nilikua naomba kujuzwa au kufahamishwa pahala ambapo nitaweza kujifunza urembaji utengenezaji wa kucha wakina dada na ata men's wanaopenda dat kind of fashion
Je unataka kujua aina ya ngozi yako na matunzo kulingana na aina ya ngozi yako?
Unahitaji kuelewa kuhusu bidhaa za vipodozi hatarishi?
Haya na mengine mengi kuhusu Afya ya Ngozi yatapatikana...
Inavyosemekana wanawake wengi hutumia poda au talc, na nguvu ya matangazo yanayowalenga hasa wanene, kupaka maeneo ya siri. Huyu mama alikua akitumia poda hiyo badae kaugua kansa na kuwashitaki...
Maji ya Uwaridi na Liwa:
Liwa ina sifa ya kunyonya mafuta usoni na hivyo husaidia kutibu chunusi. Changanya Liwa na Maji ya Uwaridi kwa ratio ya 2:1. Paka usoni na uache hadi ikauke kabisa kisha...
Leo kampuni ya kutengeneza baby powder Johnson & Johnson wameamriwa walipe fine ya dollar million 55 kwa mwanamke aitwaye Gloria.
Kesi hii inasemekana madai ya huyo mama ni kwamba talcum powder...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.