Tatizo la Models kuwa mashoga na wasagaji

Hii Habari haifai kuwekwa jukwaa hili at least Habari na hoja.. Sijui kwanini umeleta huku labda Kwa kuwa inahusisha models ambao ni wanamitindo
 
Hii Habari haifai kuwekwa jukwaa hili at least Habari na hoja.. Sijui kwanini umeleta huku labda Kwa kuwa inahusisha models ambao ni wanamitindo
Nimeleta huku kwa sabab ni moja kat ya changamoto kubwa sn ktk mitindo
 
Mtoto wa kiume kama ni rijali hawez kuwa modo kwa sabab kutembea unajibinua mbele ZA wanaume wenzako ni disability ya hormonal imbalance.. hivi vtu vinawatag saikolojia na kujikut wana adapt female characteristics mfano kubinua macho.. kumantain body kwa kujinyim kula ..n.k therefore hawatak maisha ya kuhusstle. Unategemea atakuwaje? ONYO..kuwa makini na mienendo ya mtoto wako mapema kabla mambo hayajawa mabaya
 
hii ingekua habar na hoja ingekua poa sana anyway hii ni kwel model weng ni gays tena nakushaur usikubal mwanao au ndugu yako awe model mwisho wa siku atakua shoga
kwahiyo hata wewe ni gay kwasababu ni model?
 
Back
Top Bottom