Happy skin ya Oriflame

Linamo

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
9,976
24,488
Habari.
Naomba kujua uzuri wa haya mafuta nataka nianze kuyatumia. Ngozi yangu si kavu Sana wala si ya mafuta Sana.
Natunguliza shukrani.
 
mambo hayo kwa mtu mwenye ngozi kavu alokuuzia hajakuelekeza au hujatumia bado
 
Habari.
Naomba kujua uzuri wa haya mafuta nataka nianze kuyatumia. Ngozi yangu si kavu Sana wala si ya mafuta Sana.
Natunguliza shukrani.
Ya kawaida tu, hayana jipya. Nimetumia chupa ya blue na ya njano zaidi ya mwaka umepita. Nadhani bei kubwa ni kwa ajili ya kufidia usafirishaji na kodi, sijui waje waliopata cha tofauti
 
Hayo ni mafuta ya mwilini tu ile chupa ya blue kwa mtu mwenye ngozi ya kawaida na chupa ya njano kwa mwenye ngozi kavu
 
Habari.
Naomba kujua uzuri wa haya mafuta nataka nianze kuyatumia. Ngozi yangu si kavu Sana wala si ya mafuta Sana.
Natunguliza shukrani.
Ni lotion moja nzuri mno ile ya kopo la yellow ndio ninayotumia,mie ngozi yangu ya miguuni ni kavu sana to the extent inakuwa kama inachanika vidraft fulani hv ila toka nmeanza kuyatumia kwakweli ngozi yangu imekuwa nzuri sana...siwezi kupaka lotion nyingine zaidi ya hiyo kwangu its the best body lotion!
 
Umekuwa kama mcharo?!
 
Kwakweli ni zaidi ya mcharo...inakuwa na uhai kabisa;angalizo ni body lotion na si face lotion!
 
Back
Top Bottom