TAHADHARI: Epuka kujiunga na Wapinga Kristo kwa mavazi haya

Blessed Jr

Senior Member
Nov 17, 2016
134
235
Kuna T-shirts zipo Hapa Tanzania zimeanza kuingia sokoni za Kupinga Kristo.

Kanye Wst Msanii wa Marekani ameamua kuanzisha dini yake na kujiita YESU wa dini yake.

Alichokifanya ni kubadili neno YESU na kujiita YEEZUS akiwa na maana ya Yesu wa kweli.

T-shirts hizo naona watu wameshaanza kuzivaa pasipokujua maana yake, na lengo la hawa watu ni kupinga uwepo wa Kristo Yesu.
FB_IMG_1481791301033.jpg
FB_IMG_1481791407803.jpg
PhotoGrid_1481791976926.png

Sambaza ujumbe huu kwa wapenda Kristo na kuwaelimisha watu wasivae wasichokijua.
 
Kuna T-shirts zipo Hapa Tanzania zimeanza kuingia sokoni za Kupinga Kristo.

Kanye Wst Msanii wa Marekani ameamua kuanzisha dini yake na kujiita YESU wa dini yake.

Alichokifanya ni kubadili neno YESU na kujiita YEEZUS akiwa na maana ya Yesu wa kweli.

T-shirts hizo naona watu wameshaanza kuzivaa pasipokujua maana yake, na lengo la hawa watu ni kupinga uwepo wa Kristo Yesu.View attachment 446490View attachment 446491View attachment 446493

Jamaa huyo alisharukwa na akili ameshapona?
 
Unaweza kuvaa rozali na bible mkononi na ukawa mpinga Christ so mavazi hayana maana yeyote kwa mwenye imani ya kweli.
 
Kuna T-shirts zipo Hapa Tanzania zimeanza kuingia sokoni za Kupinga Kristo.

Kanye Wst Msanii wa Marekani ameamua kuanzisha dini yake na kujiita YESU wa dini yake.

Alichokifanya ni kubadili neno YESU na kujiita YEEZUS akiwa na maana ya Yesu wa kweli.

T-shirts hizo naona watu wameshaanza kuzivaa pasipokujua maana yake, na lengo la hawa watu ni kupinga uwepo wa Kristo Yesu.View attachment 446490View attachment 446491View attachment 446493

Sambaza ujumbe huu kwa wapenda Kristo na kuwaelimisha watu wasivae wasichokijua.
Shida mkuu na Mimi nataka nionekane wa kileo
 
Back
Top Bottom