Mafuta ya T444z ni kweli yanakuza nywele?

uajekundu

JF-Expert Member
Jan 14, 2016
541
461
Habari zenu wapenda urembo,
Nimekutana na Matangazo kuhusu haya mafuta katika mitandao ya kijamii ikionesha watumiaji wa mafuta haya wakiwa na nywele ndefu kupita kiasi,

Je ni kweli, naomba ushuhuda Kwa yeyote aliyewahi kutumia mafuta haya.
 
Back
Top Bottom