samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,953
Hivi ni kwanini hawa jamaa ni ndugu, umasikini na uchafu yaani mazingira ya wanapoishi machafu, mavazi wanayovaa machafu na hata muonekano wa mwili ni mchafu tu kwanini iko hivi.
Ina maana huwezi kuwa masikini na ukawa msafi wa mwili, mavazi na makazi yako yakawa masafi au tunausingizia umasikini tu kwa kila kitu
Wewe una maoni gani juu ya hili?
Ina maana huwezi kuwa masikini na ukawa msafi wa mwili, mavazi na makazi yako yakawa masafi au tunausingizia umasikini tu kwa kila kitu
Wewe una maoni gani juu ya hili?