Virutubisho vya Bio Earn kwa ndege wafugwao na wanyama

Nov 6, 2016
51
140
CAM STORE ikishirikiana na Mifugo Plus

Tumekuletea BioEarn Feed Additives ama nyongeza ya malisho.

Virutubisho vya BioEarn vimetengenezwa kitaalamu kwa kutumia Unga wa mimea yenye Vitamini na Protini nyingi katika uwiano wa kisayansi na kuongeza aina mbali mbali za Madini na Bacteria kama [bacillus subtilis type 1] wenye manufaa makubwa hasa kusaidia machakato wa uchachushaji, umeng'enyaji na kinga ya kimfumo.

Aidha, BioEarn Imeongezwa probiotics, prebiotics na metabolites nyingi ambazo hudumisha uwiano wa kiikolojia wa mimea na matumbo ya wanyama ,hivyo husaidia ufyonzwaji wa Virutubisho mbali mbali kwa wanyama na kuboresha Kinga ya wanyama, wanyama hukua haraka na kubaki wenye afya njema.

Tunavyo Virutubisho vya mifugo mbali mbali kama vile.
●Kuku wa nyama ,kuku wa mayai na ndege wengine.
●Ngurue, mbwa,mbuzi na kondoo.
●Ng'ombe, ng'amia & farasi.
●Samaki aina zote.

Faida kuu za kutumia Bio Earn kwa Kuku na Mifugo Mingine
●Husaidia kuimarisha uwezo wa kuondoa sumu kwenye ini ili kuboresha Kinga.
●Huboresha uzalishaji Nyama, Mayai, Maziwa na kuongeza uzito wa nyama, mayai na maziwa kwa 7-10%. Hupunguza gharama za ulishaji kwani chakula kitameng'enywa chote na hivyo kuepusha upotevu wa chakula kwa njia ya kinyesi
●Hupunguza Maradhi na vifo vya hapa na pale kwa 90%.
●Huboresha ugumu na rangi ya Ganda la yai na uzito wa yai kwa gram 2
●Huongeza muda wa kilele cha uzalishaji wa mayai.
●Hurahisisha zoezi la ufyonzwaji wa Virutubisho vyote na kupunguza kinyesi cha trophism.
●Huboresha ukuaji na kuongeza uzito kwa kuku wa nyama.
●Huzuia maradhi ya kuhara na hivyo kuharakisha ukuaji.
●Hupunguza harufu ya ammonia katika makazi ya mifugo na kuzuia magonjwa ya mfumo wa hewa.
●Huongeza hamu ya ulaji wa chakula.
●Hupunguza stress na kumfanya mnyama atabasamu muda wote.
●Husaidia mnyama kuingia joto kwa wakati na kufupisha mchakato wa Kuzaliana.
●Husaidia nguruwe Kuzaa watoto wengi.
●Husaidia tatizo la mnyama kuzaliwa mwembamba na dhaifu.

Jinsi ya kutumia Virutubisho vyetu vya bio Earn.
●Chukua 2kg za BioEarn kisha changanya kwenye chakula chako chenye kg 100.
●Endapo mifugo yako ina changamoto kiafya sana, (wamekonda, wanahara ,magonjwa ya mfumo wa hewa nk) Tumia 4kg ya Bioearn kwa kg 100 za mchanganyiko wa chakula chako.

Virutubisho vyetu vya bio earn vinaongoza kufanya vizuri sana ndani na nje ya Tanzania kwani ni salama kwa matumizi ya mifugo haina viambata sumu wala growth hormones.

Vimehakikiwa na maabara zote za kimataifa.

Ukitumia Virutubisho vyetu ndani ya siku kumi 14 na hujapata matokeo njoo tukurudishie gharama zako.

TUNAFANYA FREE DELIVERY KWA DAR ES SALAAM NA TUNANAWAKALA MIKOANI KOTE.

WASILIANA NASI
0762212623
0785670227

AU TEMBELEA TOVUTI YETU.
TUMIA BioEarn UVUNE MAPEMA KARIBUNI SANA
 
Tangazo sehemu ya wazi ila BEI ss ndio upige simu? Kila mtu atapatiwa bei kutokana na jinsi ulivyo ingia ingia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom