Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habarini wadau, samahani eti maua gani au mti gani ambao ukipandwa nyoka hasogei kabisaa eneo hiloo?
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za jioni wanajamvi, Kichwa cha habari chajieleza hapo juu, wadau nataka kufuga Kasuku lakini sijui naanzia wapi. Tafadhali naomba mwongozo wenu kwa mtu anayejua chochote kuhusu kasuku...
3 Reactions
22 Replies
7K Views
Habari ndugu, Naomba msaada kujua ni mbegu ipi ya nyanya inafaa kupanda kipindi hiki cha miez ya 9 mpaka 12? Nipo Mkuranga.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukiachana tofauti ya bei ya njiwa huanzia elfu 10 pair moja ya njiwa Wa kawaida, elfu 60 kwa wale weupe, na wengine wapo wanauzwa hadi laki 8 kwa pair moja! (Kazi moja ya njiwa ni...
28 Reactions
256 Replies
53K Views
Hapa wahaya, wanyakyusa na wachaga, wanyiha, wangoni nk nipeni experience ya kilimo cha kahawa , naingia makete serious kulima kahawa, soko la kahawa ni uhakika, though bei zinapanda na kushuka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natarajia mko salama wakuu na wanajamii forum. Niko na swali ambalo natarajia hapa ni pahari pazuri pa kupata jibu, sasa nataka kuwekeza kiwanda au viwanda vya kutengeneza juices, toka mananasi...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari ndugu wana JamiiForums, nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa kuhusiana na jitihada za sekta yetu ya Nishati katika kuibua njia mbalimbali ambazo zimekuwa na tija katika utunzaji wa mazingira...
1 Reactions
0 Replies
785 Views
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekitaka Kiwanda cha Kuzalisha Bidhaa za Kibaolojia Tanzania (TBPL) kuzalisha kibiashara viuatilifu hai (Biopesticides) kwa kasi kwa...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Nilisimama kulima nyanya kwa muda mrefu, na sasa nataka kurudi kulima nyanya tena. Naombeni msaada wenu ipi mbegu bora ya nyanya kwa sasa na haipigwi na kinyausi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Na Laudence Simkonda -Momba Mbunge wa Jimbo la Momba Mheshimiwa Condester Sichalwe (Mundy) ameiomba Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko(CPB) kuanza kuona uwezekano wa kujenga kinu cha kuchakata...
1 Reactions
1 Replies
688 Views
Hlw guyz, Nashida na vifaranga vya kanga vya wiki moja nipo Kibaha Pwani.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
-Gharama za kuzalisha mkonge kwa ekari moja -Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa I -Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa II -Kipindi cha marejesho (Payback period) Kilimo-Biashara...
7 Reactions
31 Replies
17K Views
Habari zenu wadau, Kwa wale wafugaji wa Bata, Kuna ukweli wowote kwamba ukigusa mayai ya bata Basi yanaoza, hayawezi kutotolewa? Au Ni Imani za watu tu? Wazoefu mtupe uzoefu. Karibuni.
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimekuwa napata changamoto kwa upande wa hizi incubator ndogo za sido hata za kichina. Zimekuwa nyingi hazina utotoleshaji wa kueleweka. Mara nyingi ni pata potea. Siku nyingine inafanya vizuri...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau wa JF naomba mwenye uelewa kuhusiana na swala la ufugaji wa guruwe anipe ABC. Namba ya kuanza na changamoto zake na tiba zake kwa sasa afikiria kuanzisha hiyo programu. Karibuni kwa ushauri
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huku Arusha huwa naona mabas yanapakia sana Karoti kupeleka maeneo kama Singida, Dodoma, Tabora huko na kadhalika. Karotu ni biashara kubwa sana kwa huu ukanda wa kaskazin na karoti nyingi sasa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, Nahitaji Nafaka Hizi Hapa Chini. Ulezi Msafi (Grade 1) Tone 20 Ufuta Msafi (Grade 1) Tone 20 Weka Namba Za Simu Nikupigie Kama Una Nafaka Husika Na Mmiliki Mwenyewe
1 Reactions
5 Replies
778 Views
Wakubwa kwa wakazi wa Arusha nahtaji anayeuza bata wadogo na kuku hasa croila, saso au malawi naomba connection.
1 Reactions
2 Replies
739 Views
Mimi ni namiliki shamba la parachichi mkoani njombe ukubwa NI heka10 na shambo lipo juu ya mlima na kwenye upunde wa mlima chini ya mlima huo ndio kuna bonde na chanzo cha mto sasa naitaji...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kijana wangu alitafuta ajira kwa miezi sita baada ya kumaliza chuo. Mwisho tuliamua kuingia katika kilimo cha mboga mboga. Shamba ni la urithi la ekari tatu, tulikodi trekta kung’oa visiki...
6 Reactions
25 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…