Mbegu bora ya nyanya

GEBA2013

JF-Expert Member
Feb 22, 2014
4,255
4,650
Nilisimama kulima nyanya kwa muda mrefu, na sasa nataka kurudi kulima nyanya tena. Naombeni msaada wenu ipi mbegu bora ya nyanya kwa sasa na haipigwi na kinyausi.
 
KINYAUSI ni ugonjwa wa nyanya kunyauka na hatimaye kufa.kwa kitaaluma unaitwa FUSARIUM WILT.Unatesa sana wakulima wa nyanya
 
Back
Top Bottom