Je, ni kweli ukigusa mayai ya bata yanaharibika?

Aug 31, 2017
15
7
Habari zenu wadau,

Kwa wale wafugaji wa Bata, Kuna ukweli wowote kwamba ukigusa mayai ya bata Basi yanaoza, hayawezi kutotolewa? Au Ni Imani za watu tu? Wazoefu mtupe uzoefu.

Karibuni.
 
Ninavyojua bata huwa hapendi mayai yake yaguswe. Ukiyagusa utaacha harufu yako kwenye mayai na yeye anaweza kuamua kususa kuendelea kutaga au kulalia
 
Habari zenu wadau. Kwa wale wafugaji wa Bata, Kuna ukweli wowote kwamba ukigusa mayai ya bata Basi yanaoza, hayawezi kutotolewa? Au Ni Imani za watu tu? Wazoefu mtupe uzoefu.
Karibuni.
Hapana sio kwel mkuu.. mm huwa wakianza kutaga nawatoeleaga mayai kila yafikapo mawl na kuliacha moja, kisha wakianza kukalia nawawekea yte na kwa sasa bado wanaklia vyema tu. Hii inepelekea kuwa na bata wengi sana.

Ila hakksha una nawa kbla hujashka mayai yao il kuondoa harfu ya manukato na hrfu nyngne, ila hyo imani ya kwamba hakalii co kwel mkuu.
 
Nina Bata Bukini aisee huu mwaka wa 4 kila akitaga na kutamia mayai yanaharibika. Kuchinja siwezi kuuza siwezi.
Mkuu kwanza pole kwa hlo, pil bata bukini mahal penye mambo ya kishirikina hawezi kuongeza uzao. Simaanishi kama hapo kwako ila kama kwa jirani au maeneo ya karibu kna mambo mambo ya kiswahili hawezi kuleta uzao.

Bata bukini na mambo ya kiswahili hawaendani na ndo maana mtu akiwa mwanga akikutana na bata buKini hapo huwa mtiti mzito, naongea katika jambo ambalo nina uzoefu nalo.
 
Basi kunawez kuw na ukwel hapa mtaani kuna watu wawili siwaelewi kabisa. Mmoja nyumba yake tunashare ukuta wa fensi.
 
Bata kama unawahudumia wewe mwenyewe hawana shida na wewe kugusa mayai yao, lakini kama huchangamani nao, au unawaachia wajichumie wenyewe, ukigusa mayai wanakudetect kama foreigner, mayai wanaweza kuyasusa.
 
Back
Top Bottom