Kilimo cha mpunga Mbeya

chapashoka

Member
Mar 9, 2017
19
5
Habarini?
Naomba kufahamu ni sehemu gani Mbeya wanapo Fanya kilimo cha mpunga kwa kumwagilia bila kutegemea mvua, anaefahamu naomba anijuze nikijua hadi kijiji itanisaidia zaidi.
 
Kwa juu juu kuna sehemu inaitwa Kapunga hii ni karibia na Chimala huku kuna sehemu wanaita Kapunga Rice Project kama sikosei then kuna Mbarali.
 
Panda basi la mbeya, shuka sehemu inaitwa igawa then panda basi la ubaruku waambie unaenda mbarali rice farm au highland estates. Huko ndipo anapolima masanja mkandamizaji.

Shamba la pili ni kituo baada ya igawa ukiwa katika highway shuka chimala then ulizia shamba la kapunga.
 
Gharama za kukodi mashamba huko ni kubwa sana mkuu ?
 
Tembelea busokelo district+lufilyo ward+kifunda village
WHY??
1.irrigation scheme exists
2.low highering cost of land
3.low population of active farmers
4.accesbillity
5.high potentiality of extension officer
6.wide spectrum of crop cultivation
 
Gharama ya kukodi na kulima kama acre moja inaweza kuwa kiasi gani ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom