Wakulima wa Machungwa aina ya Valencia walivyopata pesa msimu huu

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
804
1,000
Msimu huu wakulima wa Machungwa aina ya Valencia wamepata fedha nzuri, kwani mpaka Muda huu kule mashambani muheza Tanga bei ya Chungwa moja ni Tsh 100 hiyo ni bei ya shambani tena hapo mkulima analinga kwani wanunuzi ni wengi. Ni kawaida mkulima anaemiliki ekari moja kutoa Machungwa mpaka elf 60 na kumiliki Tsh Milioni 6 na Kuna watu wanamiliki mpaka ekari 100

Ushauri kwa wakulima wa Machungwa mnachokipata kifanyieni mambo ya maendeleo maana haijulikani msimu ujao itakuaje
 
MLUGURU

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
2,275
2,000
Ishafika 110 sasa mpaka mwishoni mwa wiki ijayo inaweza fika 150 aisee.
 
MLUGURU

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
2,275
2,000
Valencia hiyo wenyewe wanaita mgodi
Screenshot_20211003-231722_Gallery.jpg
 
MLUGURU

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
2,275
2,000
Yaani inaweza kufika hata 200, yaani masoko yamekua mengi sana hasa nje ya nichi
Sure,wakulima wa valencia wataenda kuandika historia nyingine msimu huu.

Na embe kuchelewa kuingia sokoni ndio imeipa nafasi chungwa kutawala mpaka muda huu.
 
Aqua

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
1,632
2,000
Msimu huu wakulima wa Machungwa aina ya Valencia wamepata fedha nzuri, kwani mpaka Muda huu kule mashambani muheza Tanga bei ya Chungwa moja ni Tsh 100 hiyo ni bei ya shambani tena hapo mkulima analinga kwani wanunuzi ni wengi. Ni kawaida mkulima anaemiliki ekari moja kutoa Machungwa mpaka elf 60 na kumiliki Tsh Milioni 6 na Kuna watu wanamiliki mpaka ekari 100

Ushauri kwa wakulima wa Machungwa mnachokipata kifanyieni mambo ya maendeleo maana haijulikani msimu ujao itakuaje
Ndugu tusaidie sisi wengine wazee wa kutafuta fursa,hiyo mbegu ya Valencia ina tofauti gani na zingine?Je kwa mkoa wa Tanga inakubali sana katika wilaya zipi au maeneo yapi?Vipi upatikanaji wa miche yake kama nataka kulima at large scale?
 
Saint Anno II

JF-Expert Member
Sep 12, 2021
206
1,000
Hiyo parah ya mwisho umeshauri jambo la maana sana,kazi za msimu kama hizi inafaa sana kulinda unachokipata leo kutokana na hujui msimu ujao utasimama vipi!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom