Habari za muda huu madaktari....
Nina ng'ombe 2 zinaumwa, ila sijui nini tatizo.
Wa kwanza jike. Dalili alizonazo ni kutoshiba vizuri(tumbo halijai), ila anakula kuanzia asubuhi(saa 3 au saa...
Kwa wale ndugu zangu mnaotaka Mbolea ya kuweka mashambani ili kuwauwa wadudu waharibifu wa mazao yote, nakuyakuza mazo kuwa mengi na kupata faida ya ukulima wako Mbolea ninayo nzuri na yenye...
Asalaam,
Nilikua nataka kuijua kilimo cha ndizi,
Ukiwa na hekamoja pale kiwangwa na Mtaji wa laki tano
1. Unaweza kuotesha mingapi
2. Mda wa rotation
3. Soko likoje
Naishi Mwanza.
Shida imenianza tarehe 3/04/2026. Alianza mmoja hali anasinzia akatapika nikamchinja kesho yaka akaanza wingine nikamchinja.
Kukapoa kama siku 4 hivi.
Leo tarehe 08.04. 2026...
Natafuta ndama wa ng’ombe wa kisasa wa maziwa. Itafaa zaidi wakipatikana mkoani Mbeya.
Kitulo siku hizi wameshindwa kabisa kuendana na demand iliyopo. Hivyo hivyo Uyole wameshindwa.
SOMO FUPI (LILILOFANYIWA UTAFITI):
Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Ng’ombe wa Maziwa
Lengo la somo: Kuwezesha mfugaji au mwekezaji kufanya uamuzi sahihi, wa kitaalamu, na wa faida kabla ya...
Mwanongwa leo nimekatiza Mitaa ya Kiwira Wilayani Rungwe lakini nilichokutana nacho ni aibu sana kwa wilaya huu, yaani wauzaji wa ndizi wanapitia wakati mgumu sana kipindi hiki cha mvua, soko...
Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja.
To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi...
Hello habari. Kampuni ya KENI AGROPARK LIMITED inawakaribisha wote wenye maduka ya pembejeo(agrovets) pamoja na wakulima binafsi kuweza kujipatia mbegu bora za mbogamboga zilizothibitishwa...
Habari wanajamvi.
Kuna maeneo ardhi haikubali kustawisha zao fulani na wakati huo hilo zao linalohitajika sana katika eneo la wakazi husika.
Mimi niko eneo ambalo ni udongo kichanga sana, mazao...
Natafuta miche ya mwarobaini ya kisasa
Nimeiona hiyo miti kwa jirani yangu lakini huko alikonunulia miche wamehama,
Shamba lipo Chalinze, natafuta miche kwa kwa maeneo ya Dar na Pwani
KILIMO BORA CHA MPUNGA:
A: kuandaa shamba
shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow)
Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti
weka mifereji ya Maji vizuvizur
Andaa...
..Kenya wameanza kuachana na Minazi ya kienyeji East African Tall.
..wamekuja na minazi ya kisasa, mifupi, toka India ambayo ina uzalishaji mkubwa.
..Kuna umuhimu wa Tanzania kutafuta mbegu...
“Nilikuwa nafuga, lakini kuna vitu vya ziada nimejifunza — hasa tofauti kati ya kufuga nguruwe kwa ajili ya nyama 🥩 na kufuga kwa ajili ya uzalishaji 🐖📈.
Hilo limenifurahisha sana na nitaenda...
Habari za majukumu wakuu
Naomba kufahamu usafiri wa kusafirisha mbuzi kutoka minada hii simiyu ...kondoa ....na kilosa je nitapata ya jumuia au itanilazimu kuwa na usafiri binafsi?
Tanzania mpaka sasahv kupitia mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera kuna jumla ya Viwanda 12 vya kuchakata mafuta ya Parachichi
Ila serikali kupitia wizara ya kilimo na COPRA wameshindwa...
Habarini wadau
Je kuku wakubwa km jogoo au koounaweza kumpa change zote na kweli ikawa tiba ama kinga kwa Magonjwa.
Maana nina mpango wa kununua makoo mengi ili niwafanye kwa ajili ya kuuza...
Ni takribani miaka 8 tangu niliponunua pori lenye ukubwa wa ekari 10 katika kijiji cha Nnyengedi mkoa wa Mtwara na kuligeuza kuwa Shamba la Mikorosho.
Shamba ambalo halipo mbali sana na barabara...
Wakuu naomba msaada kwa yeyote anaefanya kazi TAHA au mtu au kikundi ambacho ni mwanachama wa TAHA Tanzania, nataka kujiunga na hii taasisi nikiwa na lengo la kubase on long term agriculture yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.