Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Kama kichwa kinavyojieleza!! Ninaomba anayeifahamu maabara ya kupima magonjwa mbalimbali ya wanyama kwa jijini Mbeya ninaomba mnijuze tafadhali! Nina viumbe hapa wameletewa madawa Mara nyingi...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu habari, Naomba kufahamu au kama kuna mtu anahusika na biashara ya viungo(spices) bei za jumla kwa dar au mikoani. viungo vinavyo takiwa ni; corriander(giligiliani), black pepper(pilipili...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wadau wa JF Mwezi wa 2 mwanzoni nilianza kufuga kuku wa kienyeji pure. Nikanunua Jogoo 2 Mitetea 14. Mitete 2 walipata shida kidogo nikawala nikabakia nao 12. Mwezi wa 3 mwanzoni...
4 Reactions
71 Replies
12K Views
UTANGULIZI Matikiti maji hulimwa kama zao la biashara katika sehemu nyingi duniani zenye hali ya hewa ya joto la wastani, zao hili huwapatia watu kipato. Matikiti maji ni mojawapo ya jamii za...
8 Reactions
34 Replies
6K Views
Habari wanaJF wakulima, Hii ni mada mahususi itakayotoa elimu na maarifa kuhusu kilimo cha mazao ya mbogamboga na matunda kwa ujumla. Watu wengi wanatamani sana kulima ila wanakosa maarifa...
29 Reactions
407 Replies
52K Views
Wadau hivi kuku bora kienyeji wanapatikana mkoa gani?
1 Reactions
3 Replies
634 Views
WAKULIMA WA KAHAWA KAGERA NI SHANGWE TUPU, BEI YA KAHAWA IMEPANDA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kusimamia vyema...
0 Reactions
3 Replies
814 Views
Unadhani kutokana na kuwepo kwa changamoto ya masoko kwa bidhaa pamoja na mazao kwa wakulima Tanzania nini linaweza kuwa suluhisho ukiachana kuilaaumu serikali je unaona vijana wana nafasi gani hapa
0 Reactions
3 Replies
500 Views
Wengi wetu tumekuwa tukiogopa kufuga kuku sababu ya magonjwa.Ni kweli kuku wa kisasa ni rahisi kupata magonjwa. Sababu ya ufugaji wa kuku wa kisasa unaonekana ni mgumu kutokana na maeneo na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakubwa nisaidieni Je, unaweza kuwaweka kuku wa 4 wenye vifaranga kwenye chumba kimoja na watoto wao? Maana kuku wangu wameatamia wapo wa 4 so nataka kuwatenga na hawa wengine ambao bado...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Hi friends, Naomba mwenye elimu kuhusu ufugaji wa kuku kwa kuanza na kufuga vifaranga vidogo vidogo kabsa, naomb kujua; 1. Faida zake 2. Namna ya kuwa mama kuku au namna ya kuwalea 3. Athari zake...
2 Reactions
3 Replies
928 Views
Hii kozi ninaoina kama miyeyusho fulani ivi maana nikiangalia maprof, Dr na PHD zao wote wameishia kuwa waalimu tu yaani malecturer tu, hakuna aliefungua mradi wake ata wa kufuga sato...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu wadau wafugaji tunatoa huduma ya uuzaji wa ng'ombe wa maziwa wilayani Rungwe mkoani mbeya karibuni kwa ng'ombe aina hizo kwa bei nafuu saana Tunatoa elimu na ushauri kuhusu ufugaji bora...
5 Reactions
70 Replies
10K Views
Habari wanafamilia wa JF, Nipo Tanga, Nina shamba lenye miundombinu yote ya Kilimo na Ufugaji, kama mabanda, zizi, nyumba ya wafanyakazi n.k. Ila bado tumaji. Kuna maji ya bomba ila hayatoshi kwa...
0 Reactions
5 Replies
883 Views
Wakuu kwema? Natafuta mafuta ya mawese kwa anayeuza mengi bei ya jumla Asanteni
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mkoani Kagera, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro ameiomba serikali kupitia wizara ya kilimo kunusuru zao la Mahindi ambalo bei yake inashuka siku hadi siku. Mhe. Ndaisaba...
1 Reactions
3 Replies
876 Views
Natafuta masoko wanunuzi wa dagaa chakula cha kuku naulizia kama kuna anayehitaji hao dagaa tuwasiliane pia mnaweza kunisaidia na kampuni nyingine zenye uhitaji wa bidhaa hii Asanteni sana
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wafugaji wa hivyo vitoweo mahali popote pale Tz tuwasiliane kwa pm niko tayari nikufuate popote pale ulipo ili mradi tu unithibitishie kama naweza kuwapata wasiopungua mia tano ila nahitaji...
0 Reactions
35 Replies
22K Views
Nilikuwa sijui kama kuna ng'ombe mwenye thamani inayozidi milioni tano. Lakini hii clip imenifungua macho! Ng'ombe wa maziwa anauzwa Tsh 12,000,000/= Milioni kumi na mbili si bei ya IST used...
16 Reactions
186 Replies
13K Views
Wakuu nahitaji kulima mboga mboga hasa chinese na tembele kwenye uwanja wangu wenye ukubwa wa nusu eka, nimezunguusha fensi na nimechimba kisima kwa ajili ya maji ya kumwagilia. Nahitaji...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…