Kwa ushauri,elimu, kutembelewa mashambani,kufundisha vikundi vya wakulima au Mameneja mashamba na Miche ya matunda,viungo,tiba na miti,
Wasiliana nasi,
Shamba initiatives Enterprises (T) Ltd...
Hodi wenyeji!
Habari zenu waungwana. Nina wazo la kuwa mjasiria mali ili niachane kabisa na mambo ya kutegemea mshahara wa mwisho wa mwezi. Tatizo ninalokumbana nalo ni ukosefu wa skills juu ya...
Mm mi kijana miaka 30. Nimesomea kilimo na nimkulima pia. Naomba kama kuna mtu ana mashamba hususan ukanda wa pwani kwa ajili aya kilimo na ufugaji, tufanye partnership kwenye uzalishaji wa mazao...
Jana nilishuhudia kwa mara ya kwanza Giant Bamboo, aisee zile Bamboo sio za kawaida ni kubwa mno na very heavy, nilikuwa naziona tu kwenye picha,ila jana ndio nikaziona kwa macho sio za kawaida...
Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza?
Wengi naona ni janda za juu na kaskazini.
Nipe location au contacts kwa anaejua please!
Wakuu habari za muda huu.
Mimi ni mkazi wa Kahama, Shinyanga, napenda sana nifanye kilimo cha vitunguu maji hasa ktk mikoa ya Singida na Manyara
Tafadhari sana kwa mkazi wa Singida na Manyara...
Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli …!! maana mpaka sasa kuna baadhi ya waliopata fursa za kuajiriwa na TRA mwaka wa Jana (2023) bado hawajui ni ofisi ya wapi atapangiwa.
Wenye siri...
Habari wakuu, mimi naishi mkoani (kanda ya ziwa). Wiki ijayo ninakwenda Dar kwa ajili ya shughuli zangu binafsi. Katika huo muda nitakaokuwepo, nitakuwa na muda wa free hivyo natamani kupata...
Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde (Mb), amevitaka Vyama vya Ushirika vijijini kuendeleea kuomba uwakala wa kusambaza mbolea katika maeneo ili kuweza kuwafikia wakulima kwa wakati.
Amesema...
Wadau, kuna mfugaji wa kuku hapa Dar ananiambia kila mzunguko wa kuku 1000, anapata faida ya Tsh Laki 7. Hapo soko likiwa zuri sana. Jamani hicho kipato ukiangalia mtaji wa Banda nk. Je kuna njia...
Tanzania tuitakayo itajengwa na mimi,wewe na yule.
Habari wanajukwaa, napenda kuchukua nafasi hii adhimu kuwasilisha wazo langu kama raia mwema na mwenye mapenzi kwa taifa langu huku nikiwa na...
Kuwa Tajiri kwa Mtaji wa Laki 3 tu, Kupitia Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji
LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MRADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI.
Hapa tuta hitaji...
Serikali ya Zambia inasema imefikia makubaliano na Tanzania Ili kuweza kuuziwa mahindi metric Tani 650,000 kukabiliana na upungufu wa mahindi kulikosababishwa na Ukame.
---
Zambia plans to import...
Hi
Naomba serikali kuvunja mfumo wa kuuza mazao katika vyama vya msingi kwani vimekua vikitunyima uhuru katika mazao yetu.
Baadhi ya Vyama hivyo vimekua vikichelewesha Malipo kwa wakulima...
Utangulizi
Kilimo hai, kinachojulikana pia kama kilimo cha kiasili, ni mbinu ya kilimo inayolenga kuzalisha mazao kwa njia inayozingatia mazingira na afya ya binadamu. Kilibongo Organic Farm ni...
Kwa anae Lima viazi vitamu naombeni elimu.
Mbegu Bora ya kiazi kitamu ni ipi?
Inatunzwaje kuanzia kupanda kuweka mbolea mpka kuvuna kwake.
Je viazi vitamu uvunaji wake ukoje ili kitoke kiazi...
Kwa wale wenye hamu ya ufugaji Bata wa kienyeji au wakuitwa Bata wachafu vitu muhimu vya kuzingatia ili uweze kuwa mfugaji mkubwa na mwenye uwezo wa kuvuna pesa nyingi.
Vifuatavyo vitu muhimu Kwa...
WAZIRI MHAGAMA - SERIKALI KUFUNGUA SHAMBA LA MIWA, MUHUKURU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama (MB) wa Peramiho amesema Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.