Habari zenu ndugu wapendwa,
Ninafanya utafiti kuhusu biashara ya Vyakula vya nafaka kama mchele,maharage unga n.k
Kama kuna yeyote mwenye idea na hii biashara nitakushukuru kama nikipata uzoefu...
Hello wadau
mimi ni mfanyabiashara wa kati, nnauza tikiti maji kwa bei nzury na kwa uhakika (reliable). Tikiti zangu zinakuwa za kiwango cha juu sana na hata za kiwango cha kati ukitaka utapata...
Salaam,
Nina lori (semi-trailer) flatbed linaloweza kubeba mpaka tani 30-31, natafuta mtu/kampuni yeyote iliyotayari kushirikiana katika kusafirisha mizigo/containers kwenda sehemu mbalimbali...
I hope this information will motivate you and provide you with courage when you experience ups anddowns in your career, business or entrepreneurship initiatives in particular. Not everyone who's...
Baada ya kuona usaidizi na ushauri wanaopata wenzangu ,nikaonelea ni vyema nami nipate ushauri kwa manufaa yangu. Nafikiria kufungua biashara ya books n stationery mjini songea, mwanipa ushauri...
Ndugu wajasiriamali wenzangu ningependa kufahamu mtu mwenye mtaji wa tsh 400000 (laki nne) anaweza kufanya biashara gani yenye kulipa na endelevu? Namdogo wangu anamaliza chuo kikuu na anapenda...
Wakubwa nawasalimu
Baada ya salamu naomba kuwauliza natamani kuanzisha biashara ya kuosha magari na pikipiki hapa jijini Dar es Salaam. kwa wazoefu wa biashara je aina hii ya biashara inaweza...
Habar wana Jf, mi niko dar,Nahitaj kukopa mil.5 niweze iirudisha kwa riba ya miaka miwil au mitatu,je ni taasis gan au bank gan naweza wa consult,dhamana ni hat ya nyumba yangu
Ndugu wana JF
Shamba lenye ukubwa wa ekari 6 linauzwa. Shamba hili lipo maeneo ya Msalato umbali wa km 10 kutoka katikati ya mji wa Dodoma. Shamba hili lipo karibu na uwanja mpya wa kimataifa wa...
Wapendwa,
Mimi ni practioner wa Microfinance kwa zaidi ya muongo mmoja, naendesha kampuni inaitwa Chakarika Credit Facility ambayo ni limited by guarantee. Kazi imekuwa ikienda vizuri sana kwa...
Sina kazi ya kuajiriwa kwa sasa, nimeamua kuacha kwa sababu ya kutovulia kufanya kazi na ndugu zetu wa Asia.
Nina Million 5 katika account yangu. Nime plan kufungua Grocery pamoja na kibanda...
Wanajamii. Napenda kufahamu kama Biashara ya kutengeneza na kufunga curtains majumbani na maofisini kama inalipa nzuri haga bongo, na kama kuna makampuni yapo yanafanya biashara hii kwa faida.
Nafikiria kutumia kaakiba kangu kununua pikipiki kwa ajili ya biashara ya bodaboda. Naomba ushauri kama ni biashara nzuri kufanya au nipige chini. Km unaona hailipi nipe ushauri wa biashara...
Salaam wakuu.
Natafuta mtu wa kufanya nae potential biz ya Catering.
Kama una kampuni ambayo iko DSM, Coast Region au Morogoro naomba tuwasiliane kabla ya 31st.May.2012
PM au rakeyescarl@yahoo.ie