biashara ya kutengeneza na kufunga curtains inalipa tanzania?

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Wanajamii. Napenda kufahamu kama Biashara ya kutengeneza na kufunga curtains majumbani na maofisini kama inalipa nzuri haga bongo, na kama kuna makampuni yapo yanafanya biashara hii kwa faida.
 
Frozen,
It pays......recently my aunt was decorating her dream house. We surveyed some shops in greater Dar. We ended-up buying at one shop adjacent NBAA Hse/Maktaba Blng, down CBE college. This is the only supplier of good quality curtains. They are also instaling. They dictates the market and buyers obey. Some fabric are only sold on saturday. Twice we had to line-up after missing our choices in the first visit. Jump into it!
 
Wanajamii. Napenda kufahamu kama Biashara ya kutengeneza na kufunga curtains majumbani na maofisini kama inalipa nzuri haga bongo, na kama kuna makampuni yapo yanafanya biashara hii kwa faida.

Dont say inalipa, Watafiti wengi wanasema moja ya sababu za kwa nin i Biashara nyingi ndogo zinazo anza hufa ndani ya muda mfupi, ni watu kuingia na expectation ya kufa mtu, unapoingia anza biashara na expectation ya kupata pesa hutafika mbali, PESA ISIWE PRIORITY YA KWANZA KWAKO,

Unacho takiwa kufanya ni kuingia katika biashara hiyo ukiwa na lengo la kutoa huduma iliyo bora na ya kiwango cha kimataifa, na hii ni baada ya kusoma udhaifu wa watoa huduma wengine,

PESA NI END RESULT BAADA TU YA WEWE KUTOA HUDUMA ILIYO BORA NA YA KUWAVUTIA WATEJA, HUWEZI INGIA LEO UKAANZA NA MIKAKATI YA KUSAKA PESA HUKU UNATOA HUDUMA MBAYA UTEGEMEE KUPATA PESA,

Hivyo Ingia katika biashara hii au nyingine kwa lengo la kutatua kero fulani au shida fulani, usingie kwa Tageti moja ya inalipa au la,

HII YA KUTUMIA RESAERCH INALIPA AU LA SIO SAHIHI, KWA NINI? Inaweza kuwa Inalipa kwao wewe ukaingia isikulipe kabisa, na Inaweza kuwa biashara fulani hailipi kabisa lakini wewe ukaingia ikakulipa sana,

kwa hiyo wandugu tusipende kutumia INALIPA AU HAILIPI, si kigezo kizuri cha biashara
 
thank you so much for your info, am planing to do this business as i blv i cn provide best service to people who wants to decorate their homes, curently am doing my research to see how i can do this thing to be a big busines venture here in Dar.
 
Tafuta eneo ambalo wateja watakufikia kwa urahisi,customer care iwe nzuri ,tegemea mahitaji zaidi ya yale uliyoweka kwenye shelve(flexibility).mfano mimi nilienda sehemu nikachagua pazia ya kutosha nyumba nzima na nikawa nataka anidizainie kwa taste yangu ila cha ajabu alinichanjia ajabu nikaona isiwe tabu....pesa ni yangu natoa na nyumba ni ninakopeleka ni kwangu so siwezi peleka taste ya muuzaji kisa tu hataki kunisikilza..nikamwambia anirudishie changu.Badae nikaenda kwa mchina kariakoo akanielewa,hapa kumbuka nilimpa mbongo mwenzangu first priority lakini aliniangusha.

sasa utakuta eneo zuri la biashara unalo lakini kauli zikakufukizia wateja..kumbuka bad news travell faster ...pia you need to go great length to reach your customer.

kila la heri
 
Nakushukuru kwa mchango wako, natumai maoni yako yatanîsaidia sana mbeleni,koz naamini watu wengi hapa dar wanapenda kuwa na curtains nzuri za madilishani na milangoni lakini, hawajui wapi pa kuanzia, asante sana
 
Back
Top Bottom