Kwa wasafirishaji mizigo (Kigoma, Sumbawanga, etc) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wasafirishaji mizigo (Kigoma, Sumbawanga, etc)

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by truckdriver, Jul 4, 2012.

 1. t

  truckdriver JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 504
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 60
  Salaam,

  Nina lori (semi-trailer) flatbed linaloweza kubeba mpaka tani 30-31, natafuta mtu/kampuni yeyote iliyotayari kushirikiana katika kusafirisha mizigo/containers kwenda sehemu mbalimbali katika nchi yetu.

  Clearing Agents wenye mizigo tunaweza shirikiana pia.

  Gari ipo Dar es Salaam.

  Asanteni
   
 2. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu tuwasiliane ulete tangazo ndani ya blog
  GSHAYO
   
Loading...