msaada mtaji wa moja nanusu.miliyoni.

du mshkaji umeiiba wapi mbona hata kuiandika inakusumbua?
kaa tulia subiri polisi wamalize msako na wewe roho yako itulie kwani sasa hivi utaipigia pombe tu.
 
Miliyonimoja nanusu mkoa wa morogoro naweza kufanyia biashara gani.ambayo itanilipa

hii ni millioni moja na nusu sio, fanya hivi nenda mahenge nunua bangi gunia 100 njoo hadi ifakara lipia behewa pale stesheni ya tazara, lete dar mimi ntakuelekeza sehemu nzuri ya kuuza hasa pale dodoma eneo la makole upande wa kulia kabla ya round about
 
mmmmnh.....:eek2::eek2:
 
Aisee!Ushauri mwingine balaa
 
Back
Top Bottom