Biashara gani inayofaa kwa hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara gani inayofaa kwa hii?

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Uparo, May 25, 2012.

 1. U

  Uparo Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Ndugu wajasiriamali wenzangu ningependa kufahamu mtu mwenye mtaji wa tsh 400000 (laki nne) anaweza kufanya biashara gani yenye kulipa na endelevu? Namdogo wangu anamaliza chuo kikuu na anapenda ajiajiri nami nimeona nimpatie kianzio cha laki nne niangalie mwelekeo wake utakuwaje ila pia ningependa kujua biashara gani anaweza kuifanya ikamlipa kwa mtaji huo hata kama itakuwa kwenye mikoa wowote ule ilimradi inamlipa nijuzeni wandungu
   
 2. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Ajiunge na Vikoba yoyote iliyokaribu naye.
   
 3. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 866
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  ingekuwa 1.5 m ningekuelekeza cha kufanya lakini lifika wasiliana nami 0715381371 naweza kutoa ushauri
   
Loading...