Nnauza tikiti maji za jumla na kununua kutoka popote zilipo tanzania

Tafakuru

Member
Dec 9, 2011
83
33
Hello wadau

mimi ni mfanyabiashara wa kati, nnauza tikiti maji kwa bei nzury na kwa uhakika (reliable). Tikiti zangu zinakuwa za kiwango cha juu sana na hata za kiwango cha kati ukitaka utapata, kwa idadi yeyote ile utakayohitaji.

Pia mimi ni mkombozi kwa wakulima, maana nnanunua matikiti kutoka shambani, kwa bei nzury tena kwa cash.

kwa yeyote aneihitaji au anaefaham mtu anaehitaji naomba tufanye mawasiliano
 
Duu! Tangazo lako linakosa vitu vingi vya msingi. Anyway je unanunua tikiti aina gani? Bei ya kununulia ni kwa kilo au kwa pice? Je kiwango cha chini uchoweza kuchukua mfano niko tanga. I mean tone ngapi?
 
Weka namba ya simu MJOMBA!!!! tutawasiliana vp kirahisi pasipo number ya simu?????????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom