Ushauri: Biashara ya Pikipiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri: Biashara ya Pikipiki

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by luck, May 24, 2012.

 1. luck

  luck JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 771
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Nafikiria kutumia kaakiba kangu kununua pikipiki kwa ajili ya biashara ya bodaboda. Naomba ushauri kama ni biashara nzuri kufanya au nipige chini. Km unaona hailipi nipe ushauri wa biashara mbadala twafadhali.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu nijuavyo mimi hakuna Biashara isiyo kuwa na faida, ili muradi inaitwa Biashara make biashara ni lazima kuwe na faida, na hakuna biashara isiyo kuwa na faida hapa Duniani,

  Kila Biashara inalipa ila ili ikulipe inategemeana unaifanya vipi, Na kwa sasa hata Dunia nzima aidea ni zile zile ila watu wanakuja na njia mpya za kuendesha biashara,
  MFANO:
  1.DuniNI gari ni moja tu alilio unda Henry so wengine wote wanaongeza feature tu ili kuteka soko

  Hata simu unazo ona za NOKI, NA ZINGINEZO NI MOJA TU ILA MAKAMPUNI YANAJARIBU KUJA NA CREATIVITY MPYA ZA KUWEZA KUKAMATA WATEJA,

  So mkuu hata Biashara ya Kuuza Karanga inaweza kukufanya uwe mmoja wa Matajiri wakubwa Tanzania na Duniani kote so ishu iko kwa unavyo ifanya hiyo biashara na siu si kwamba unauza karanga sh 50/.

  Juzi nilitolea mfano wa China, watu wanaanza Transport company na Baiskeli ila kwa sabbau wana kua na ambition kubwa sana mwisho wa siku wanafikia kununua magari kabisa,

  Biashara ya Pikipiki si kwamba hailipi na hakuna biashara isiyo lipa ila mkuu ishu si kulipa ishu ni utakavyo endesha hiyo baishara na ukiwa na malengo gani na creativity gani katika hiyo biashara ya TOYO,

  Kwa sasa Wafanyabiashara wanajaribu kuja na mbinu mpya za kufanya biashara ila biashara Duniani ni zile zile ila utofauti ni unavyo fanya, MIMI LEO NAWEZA KUWA NA WAZO LA KUFUNGUA HOTELI, ILA NITAKAPO ENDA KUPRESENT WAZO LANGU NA KUWAAMBIA WATU KWAMBA MIMI HOTELINI KWANGU NITAKUWA NIKIPIKA KOBE PEKEE AU WATEJA WATAKUWA WANAJIPIKIA WENYEWE, hiyo ndo Ubunifu lakini hoteli ni zile zile hakuna hoteli mpaya

  Biashara ni malengo na Ubunifu wa Hari ja juu mkuu so ukiwa na Ubunifu utapata wateja na mwisho wa siku utakuwa Tajiri, usianze kwa kuwaza kama inalipa, waza kwamba mimi hii biashara nitaingia nayo vipi?


  SO MKUU TATIZO SI BODABODA WALA KUUZA PIPI ISHI NI HIZO PIPI UNAZIUZA NAMNA GANI? JE UMEKUA NA NJIA MPYA YA KUUZA PIPI? HAPO NDO UTAKUWA EMEWIN
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Tatizo haitadumu mwaka pesa yako haitarudi
   
 4. S

  Simbamtemee Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mm hy biashara nimeifanya..kifupi inalipa ila changamoto ni nyingi sana..kabla ya kununua hy pkpk nakushauri uulize mafundi khs pkpk nzuri ni ipi,kwan zinatofautiana sana ubora...vilevile tafuta kijana unaemwamini,tena uandikishane nae mkataba...ndan ya miezi 5 hivi hela yako itakuwa imerud..
   
 5. S

  Simbamtemee Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na kuhusu kudumu inategemea na matunzo na barabara...
   
Loading...