Msaada: Mtanzania Anayetoa Mizigo Marekani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Mtanzania Anayetoa Mizigo Marekani

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Ozzie, Jul 21, 2012.

 1. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Habari wakuu!
  Ninataka kusafirisha refurbished printer toka Marekani. Kwa wazoefu wanajua ilivyo shida ya kusafirisha vifurushi toka nchi za Ulaya na Marekani.
  Ninaomba kama unamfahamu mtu yeyote mtanzania anayesafirisha mizigo yake kuja Tanzania toka sehemu yoyote Marekani kwa kutumia container, tafadhali ni PM contacts zake.
   
 2. M

  Matepwende New Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Google Blog ya Vijimambo , kuna mtu anasafirisha mizigo toka huko to Tanzania.
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu Ozzie wasiliana na Issa Michuzi (issamichuzi@gmail.com) atakupa contacts za hao jamaa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...