Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habar5i za asubuhi wanajf,Nimekuwa na plansza mda mrefu za kutaka kuingia kwenye ujasiliamali katika kilimo , baada ya maandalizi yangu kwa mda sasa nimefikia wakati nataka kutimiza ndoto zangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, katika harakati za kujikwamua kiuchumi nimeshawishika kuanzisha ufugaji wa kuku. Naomba mawazo yenu juu ya gharama za kuwahudumia kuku wa kienyeji na wale wa kisasa ipoje? Pia hatari ya...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Mungu awabariki, Wakuu naomba tupendekeze topic 4 ambazo unafikiri ndizo zilizokuwa bora kwa mwaka 2013 kisha tutazishindanisha tupate tatu bora. Hii itawamotivate wajasiriamali. Mwisho wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natafuta mtu tutakaeweza ku merge nae business tufungue k a bar maeneo ya tegeta
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Projector used kidogo naiuza bei rahis kabisa nna shida sana.ACER aina yake na ina muda mwingi tu wamatumizi.0718247575 kwa contacts
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza vipodozi kwa anayetaka kufanya biashara kila kipodozi atakacho uza faida asilimia 40% na vipodozi vimeanzia bei sh: 10,000/= mpaka 50,000/=
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta soko la mafuta ya alizeti
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ni bidhaa itumikayo kwenye gari,pikipiki, generator,meli,treni,mitambo ya migodini na vifaa vingine vyote vitumiavyo petrol au diesel kwa ajili ya kusafisha mafuta hayo utumiayo FAIDA BAADA...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Natafuta shamba la kununua maeneo ya kanda ya ziwa, napendeleo mikoa ya mwanza au bukoba , shamba liwe la hekari moja ( 1) hadi tano ( 5 ) Na vile vile nitafurahi kwa ushauri wowote nitakao pata
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natumai wote wazima wa afya' naombeni mnisadie kijua: 1. Aina za sabuni zilizopo sokoni (Miche, Maji, Dawa) 2. Sabuni zenye majina makubwa 3. Sabuni zilizo na kiwango cha TBS na BAR CODE 4. Aina...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
NATAFTA mtu anayeuza kuku aina ya kuchi
0 Reactions
0 Replies
850 Views
alie kwish akufanya ujasiriamali wa kutengeneza sabuni naomba anijulishe bei ya kujifunza
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau wana jf, salaam mimi ni mjasiriamali mkazi wa Urambo mkoani Tabora. natafuta soko la asali ya nyuki wa kawaida. kuna mtu mmoja alinidokeza kwamba kuna tajiri mmoja ananunua jijini dar kwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za humu ndani jamani,mi cku zote nilikua mtu wa kuchungulia sana jf bila ya kujiunga napita majukwaa yote nasoma,nafurahi nacheka pakujifunza najifunza kisha naondoka,lakini ckuwahi kuingia...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
nahitaji chuo kizuri kinachotoa mafunzo ya ujasiriamali Wakuu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Iphone 5 and sony xperia sl available in resonable price. Text or call 0717351605
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wana jf naomben kujuzwa kuhusu noah, natafuta noah ya biashara je model gan ni nzur na vp kuhusu alaji wa mafuta? pia km kuna anayeuza tuwasiliane 0683427242
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wajasiliamali Wenzangu, Kuna Mzigo Mkubwa Sana Wa Viazi Kutoka Mwanza Geita Unatakiwa Kufika Dar. Najua Wengi Ni Mashahidi Kuwa Viazi Vitamu Ni Bidhaa Adimu Dar, Vinaposhushwa Kutoka Mikoani Kila...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu zangu niko Africa magharibi nchini Mali, nimeshangazwa na aina ya vitunguu vya huku ambavyo haviwashi, havina harufu kali na ni vikubwa, nawaza kuchukua mbegu kuleta tz. kwa wataalamu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana jf naomba kujua sehemu ambayo naweza kupata bose solo tv speaker-dar es salaam au sehemu yoyote tz. Tafadhari saidia mawasiliano ya wahusika pia.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom