Nisaidieni jamani!!!!!!!!

HONGORI

Member
Dec 16, 2013
8
0
Habari! Mimi nina ng'ombe wawili wa maziwa( freshian) niliwanunua pale ubungo dar , chakushangaza hawa ng'ombe wanatoa maziwa kidogo kiasi 3 litres per day each lakini wanapata malisho bora kabisa.Msaada toka kwenu wakubwa!!!!
 

Mama Joe

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,504
1,225
Pole ila hao ng'ombe ni aina gani? Watu wangekushauri kiasi cha maziwa unayopata kutokana na aina ya ng'ombe. Hiyo ya kuzaa madume tena mmm ngoja wajuzi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom